GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Mwanamke nimempenda sana na Kutamani hadi aje kuwa Mke wangu ila nimemkuta mahala tena akibishana na Wanaume kuhusu Mabondia akina Twaha Kiduku na Dula Mbabe huku akizielezea vyema tu Ngumi na Upigaji wake GENTAMYCINE nikasema nikiwa nae Kimahusiano uhakika wa ama Mimi Kutolewa Meno, Koromelo na Bandama kwa Kipigo chake Kitakatifu ( cha Kishalubela ) au kuwahishwa Mochwari nikiwa nimeiaga dunia upo karibu mno.
Nimeamua ghafla 'Kusitisha' kumhitaji.
Inferiority complex inakusumbua na haujiamini mkuu, wewe watafte kina mwajuma ndala ndefuMimi mdada yoyote anaejua mpira na magari kuliko mimi simtaki. Kuna siku nimekaa na kadada kamoja nikawa nawaza nikaombe namba, ikapita subaru acha kaanze kuichambua kuanzia injini, mfumo wa gearbox, ulaji mafuta, horsepower, rim zake mpaka na tairi low profile ni saizi gani...! By the time kanamaliza nikaaga na kuondoka zangu hata namba sikuomba tena.
Ndii niko nao mkuu maisha tambarare..Inferiority complex inakusumbua na haujiamini mkuu, wewe watafte kina mwajuma ndala ndefu
Mwanaume jiamini hata mwanamke ana haki ya kujua mambo mengi akiwa mdadisi pia na alipokua so sioni tatizo wewe why ukimbie?Ndii niko nao mkuu maisha tambarare..
Hahhhnilimwelewa pisi mmoja ya UD kwenye daladala, juzi kati tukakutana nikamchunguza nikakuta kwenye simu ana group kama 4 hivi za Night Clubs Ubungo na Sinza. sheeeeeenzi
Ni preference tu mkuu, ni kama jinsi wewe usivyopenda mwanaume asie na hela.Mwanaume jiamini hata mwanamke ana haki ya kujua mambo mengi akiwa mdadisi pia na alipokua so sioni tatizo wewe why ukimbie?
Preference nyingine ni stereotypes tu and wrong assumptions, hafu hamna binadamu asiyependa hela regardless of genderNi preference tu mkuu, ni kama jinsi wewe usivyopenda mwanaume asie na hela.
Zina mantiki lakini. Ivi we Cariha mfano ukutane na mwanaume anajua mambo ya urembo kuliko wewe, utajisikiaje kuwa nae? Na sio kwamba ni profession yake hapana, ni anajua tu.Preference nyingine ni stereotypes tu and wrong assumptions, hafu hamna binadamu asiyependa hela regardless of gender
Hahahahah......huyo jamaa hana akili kabisa....ukute huyo mdada ni automotive engineer, kwanini asijue magari?Inferiority complex inakusumbua na haujiamini mkuu, wewe watafte kina mwajuma ndala ndefu