Wanawake jitahidini sana kuficha 'Hobbies' zenu kwani zingine zinatutisha Wanaume na mtakosa Waume wa Kuwaoa kisha mumlaumu tu Maulana

Nipe namba yake faster ili nijimilikishe. Nitambadili mtazamo mara moja kwa kumpa stori za namna timu ya Yanga inavyo angusha kichapo kwa kila timu inayo kutana nayo msimu huu.

Hizo stori za akina Kiduku ataachana nazo kabisa.
 
Mkuu nimecheka sana kwa hi post yako.
 
laini laini sana wewe...
sisi wengine tumeoa wanawake wanaofanyakazi monchwari
 
Ukimkataa mwanamke kisa kigezo hicho sio sahihi maana kila mtu ana haki ya kufanya vitu anavyovipenda ...

Muache mtu afanye ile roho inavyotaka
It's a free world , YOLO .
Mkuu yaani Mwanamke anapenda Mchezo wa Ngumi kisha anauchambua Kiustadi muda mwingine hata kwa Vitendo huyu ni wa kuwa nae Kimahusiano? Utaoa Mke au Mke Bondia kisha awe 'anakufumua' vizuri humo ndani?
 
Mwanaume jiamini hata mwanamke ana haki ya kujua mambo mengi akiwa mdadisi pia na alipokua so sioni tatizo wewe why ukimbie?
utafiti usio rasmi unasema wanawake wanaojua mambo mengi wengi wao hawako romantic na ni magogo kwenye sita kwa sita
 
utafiti usio rasmi unasema wanawake wanaojua mambo mengi wengi wao hawako romantic na ni magogo kwenye sita kwa sita
Kwa hiki ulichokiandika hapa Mkuu kama tuko katika Basi la Abood tunaelekea Morogoro sasa hivi tupo Ubena Zomoni.
 
utafiti usio rasmi unasema wanawake wanaojua mambo mengi wengi wao hawako romantic na ni magogo kwenye sita kwa sita
Hisia zako tu kujua mambo ni udadisi tu vile watanzania wengi wavivu wa kusoma vitabu basi ni waoga
 
Zina mantiki lakini. Ivi we Cariha mfano ukutane na mwanaume anajua mambo ya urembo kuliko wewe, utajisikiaje kuwa nae? Na sio kwamba ni profession yake hapana, ni anajua tu.
Nikikutqna naye nitafurahi na siwezi kumu judge yeye ni mtu mzima na ana uhuru wakufanya apendacho as long as ni mtu mwelewa kwangu no problem
 
Mkuu yaani Mwanamke anapenda Mchezo wa Ngumi kisha anauchambua Kiustadi muda mwingine hata kwa Vitendo huyu ni wa kuwa nae Kimahusiano? Utaoa Mke au Mke Bondia kisha awe 'anakufumua' vizuri humo ndani?
Hakufumui bhana ..
Tena unakuta akija kwako anakuwa mpole tu , hana neno mwenyewe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…