Ibney
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 336
- 275
Inawezekana ni lawama nyingi... ila nawe usifosi hio bikra kwa mwanaume!! We uliiona wapi au umeiumba?!Loooooo mkuu una matatizo nini na akina mama?,it take two to tango, sasa uzi wote huu umewatupia lawama akina dada, why mdada awe bikira ILA mkaka asiwe naye bikira ?,una mawazo mgando ya kuwafanya wadada wameletwa ili wawe playing toy's zako, RESPECT mwanamke maana wote tumetoka kwao, na sema NO kwa GBV