Wanawake kunyeweni mtindi badala ya soda ni tiba

Ushauri mzuri .......ila watumie na mbinu zingine piah Yaani kila siku Uwe mtu wa kunywa mtindi tu 😂😂unakinai .......Yaani kama nikwambie kila siku Uwe unAkula dagaa kuhifadhi bajet ya msosi ni ngumu
 
Hii ni kwamba isipite siku bila kunywa ni kinywaji na sio chakula
 
Ushauri mzuri .......ila watumie na mbinu zingine piah Yaani kila siku Uwe mtu wa kunywa mtindi tu 😂😂unakinai .......Yaani kama nikwambie kila siku Uwe unAkula dagaa kuhifadhi bajet ya msosi ni ngumu
umenikumbusha kuna jamaa yangu mmoja moshi alikua anakula kila siku dagaa na ugali ili asevu hela za kufanyia maendeleo...
jambo ambalo siwez fanya yan unajitesa dagaa daily kisa ununue kiwanja..unawalaza watoto njaa au chakula kidogo ili ujenge nyumba
Watun wengi hawajajua maana ya maisha
 
Kabisa mboga mboga za majani mabilinganya nyanya chungu bamia ni muhimu sana yaan jumamos unachemsha unakunywa supu morng
mchemsho wake ni mzuri...sasa mimi huwa nakaanga hayo makitu yote mixer nyama napika na kaugali dona baada ya hapo nakunywa maji ya kutosha....
nasubiri mdada mzuri mwenye tako ajichanganye kwenye final third yangu.
 
Ni mzuri ata kwa afya ila watu wamekazana kukaanga mayai na kula na ugali dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…