Wanawake kunyeweni mtindi badala ya soda ni tiba

Hellow

Wadada mnahangaika sana kwenda hospital kununua dawa za UTI sugu wengi mnaangaika kununua marashi ili kwabibi kusiteme harufuku ushauri wanguu fanyeni mtindi ndio kinywaji chenu achaneni na soda sijui juice za matunda wewe hakikisha kila siku unakula mtindi kula kama kinywaji chako cha kila siku ilo jasho la kwabibi litakata

Unakuta manzi mrembo afu kwabibi kunatema hii sio sawa ushauri wa bure ata kwa sisi wanaume kama unakijasho kila cha kwapa mtindi unatibu

Kwa wadada mpaka fangus za kwa bibi ukitumia mtindi hazitokusumbua
mdogo wangu

Umekuwa daktari wa maeneo nyeti ya wanawake(kwa bibi)?

Ile kitu iliyochacha inatibu hali ya hewa maeneo nyeti!!! Biashara hiyo lakini .
 
Hellow

Wadada mnahangaika sana kwenda hospital kununua dawa za UTI sugu wengi mnaangaika kununua marashi ili kwabibi kusiteme harufuku ushauri wanguu fanyeni mtindi ndio kinywaji chenu achaneni na soda sijui juice za matunda wewe hakikisha kila siku unakula mtindi kula kama kinywaji chako cha kila siku ilo jasho la kwabibi litakata

Unakuta manzi mrembo afu kwabibi kunatema hii sio sawa ushauri wa bure ata kwa sisi wanaume kama unakijasho kila cha kwapa mtindi unatibu

Kwa wadada mpaka fangus za kwa bibi ukitumia mtindi hazitokusumbua
NAKAZIA.
Na vitunguu swaumu punje hata tatu unamezea na mtindi kisamaki utakisikia Kwa jilani😂😂😂
 
Back
Top Bottom