OohUnajua swahiba humu kuna majukwaa ambayo ban ni kugusa tu, na kama una bahati unapewa onyo!!
Ilibidi nikae kando kidogo ila wanisahau, itabidi sasa hivi nitulie huku tu ambako hakuna vurugu kabisa kama majukwaa mengine! Niwe nakutembelea mara kwa mara
EwaaaHallelujah.... Hapo sawa kabisa wanaume weupe ni adimu sana zama hizi hee achana na hao wanaokunywa maji na kuulazimisha weupe!! Na wanajua kupenda kweli sikutanii hata uzao wao huwa ni fahari tosha.
Kuhusu mbege mpaka hapa usijari nitaiandaa tena ule unayoipenda kisha nakuja kukuchukua tuje tunywe wote hapa kwangu kwa Uhuru.
Ooh
Kule mie kulinishinda kabisa swahiba!!! Kuna kipindi nilikuwa nalia kabisa kuleee ujue... Saivi nawasoma tuu napita, sitii neno mie!!!
Pole mwaya
Basi Fanya tuindae kwa pamoja maana naona mashariti yanazidi.... [emoji3]Ewaaa
Isiwe chungu basi
Yaani kule Hapana aiseee...Kweli kabisa aisee!! Kule ni kwa wagomvi ukitia neno likakinzana na mtu utajuta kuchangia.
Ndio maana hata mimi nataka niwe nachangia kwenye majukwaa ambayo ni stress free kama hili, hayo mengine niwaachie wagomvi na wajuaji.
Asante, ulifanya uamuzi mzuri ngoja tujiachie huku tu.
HeheheeeBasi Fanya tuindae kwa pamoja maana naona mashariti yanazidi.... [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we joanah!Mna vibamia
Manigga wengi wanaume mashine
Wanajichubua wauze nyago mkuu.Mmh! Mbona mastaa wanaume wa bongo wanazidi kujichubua wawe weupe?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mna kasoro ndio maana afu mna vijitabia vya kike yani hovyo tu ndo mana hamtakiwi
Tet teh teh umepiga penyewe hata mimi ni black alafu nina ukuni wa maanaMna vibamia
Manigga wengi wanaume mashine
Ni sawa tu, kwa maana wanawake wote mkichagua weupe.. Weusi watakuwa mabachelor.. Not fair.. Muwapende na wao ni watu..Mi naona bora weusi
Ina maama umeshalala na wanaume wote weupe? Kama jibu ni hapana.. Uache hicho kitabia cha kufanya generalization... Wanawake wengine sijui mpoje..1. Wanaume weupe [HASHTAG]#Wanaringa[/HASHTAG] sana na kujisikia kujiona wao ni keki
2. Dam zenu zimepoonza yaani mbo..oo zenu au dam haijachangamka mfano. Unywe chai ya rangi bila sukari
Tuseme kwamba wewe umeshakutana na wanaume wote weupe mpaka ufanye generalization mbovu kiasi hiki?.. Wanawake wengine sijui mna shida gani....Weupe mnajickia mnajiona makeki
Wanawake wengine hatuna shida yoyote ila huo ndo ukweli booboTuseme kwamba wewe umeshakutana na wanaume wote weupe mpaka ufanye generalization mbovu kiasi hiki?.. Wanawake wengine sijui mna shida gani....
Wewe unawasikiliza hawa wanawake wanaotokwa mapovu huku na generalization zao za kipuuzi.. Sijui wapoje hawa wanawake.. Kwa hizi tabia hata hao weusi watawaacha kwenye mataa tu.. Maana hakuna namna sasa..Majibu ya humu weupe waende wakajibulaki listi vinginevyo wasisome humu hahahahahaaa
Hamna ukweli hapo.. Ntatbibitisha kama ukimaliza kutembea na angalau wanaume weupe 1000 ... Ukija na hizo conclusion kwenye hiyo population.. Angalau ntakusikiliza kama unachosema ni kweli.... Vinginevo ni kama unajaza maji kwenye gunia vileWanawake wengine hatuna shida yoyote ila huo ndo ukweli boobo
Kule pananuka shari muda wote.Yaani kule Hapana aiseee...