Wanawake kupenda wanaume weusi, wanaume weupe kosa letu nini?

Wanawake kupenda wanaume weusi, wanaume weupe kosa letu nini?

Unajua swahiba humu kuna majukwaa ambayo ban ni kugusa tu, na kama una bahati unapewa onyo!!

Ilibidi nikae kando kidogo ila wanisahau, itabidi sasa hivi nitulie huku tu ambako hakuna vurugu kabisa kama majukwaa mengine! Niwe nakutembelea mara kwa mara
Ooh
Kule mie kulinishinda kabisa swahiba!!! Kuna kipindi nilikuwa nalia kabisa kuleee ujue... Saivi nawasoma tuu napita, sitii neno mie!!!

Pole mwaya
 
Hallelujah.... Hapo sawa kabisa wanaume weupe ni adimu sana zama hizi hee achana na hao wanaokunywa maji na kuulazimisha weupe!! Na wanajua kupenda kweli sikutanii hata uzao wao huwa ni fahari tosha.

Kuhusu mbege mpaka hapa usijari nitaiandaa tena ule unayoipenda kisha nakuja kukuchukua tuje tunywe wote hapa kwangu kwa Uhuru.
Ewaaa
Isiwe chungu basi
 
Ooh
Kule mie kulinishinda kabisa swahiba!!! Kuna kipindi nilikuwa nalia kabisa kuleee ujue... Saivi nawasoma tuu napita, sitii neno mie!!!

Pole mwaya

Kweli kabisa aisee!! Kule ni kwa wagomvi ukitia neno likakinzana na mtu utajuta kuchangia.

Ndio maana hata mimi nataka niwe nachangia kwenye majukwaa ambayo ni stress free kama hili, hayo mengine niwaachie wagomvi na wajuaji.

Asante, ulifanya uamuzi mzuri ngoja tujiachie huku tu.
 
Yaani kule Hapana aiseee...
 
Mwanaume rangi haiwezi kuwa kigezo cha kujiponda na kujichukia kisa kuna mtu hakupendi au unahisi sio rangi inayovutia.Mimi rangi haijawai kuwa kigezo cha kukataliwa na mwanamke.
 
1. Wanaume weupe [HASHTAG]#Wanaringa[/HASHTAG] sana na kujisikia kujiona wao ni keki
2. Dam zenu zimepoonza yaani mbo..oo zenu au dam haijachangamka mfano. Unywe chai ya rangi bila sukari
Ina maama umeshalala na wanaume wote weupe? Kama jibu ni hapana.. Uache hicho kitabia cha kufanya generalization... Wanawake wengine sijui mpoje..
 
Na Kwanini Wanaume wafupi hawapendwi? Haya nayo Zilipendwa
 
Majibu ya humu weupe waende wakajibulaki listi vinginevyo wasisome humu hahahahahaaa
Wewe unawasikiliza hawa wanawake wanaotokwa mapovu huku na generalization zao za kipuuzi.. Sijui wapoje hawa wanawake.. Kwa hizi tabia hata hao weusi watawaacha kwenye mataa tu.. Maana hakuna namna sasa..

Kulikoni wanawake wote mmevamia jukwaa mnachonga mdomo kama chuchunge?
 
Wanawake wengine hatuna shida yoyote ila huo ndo ukweli boobo
Hamna ukweli hapo.. Ntatbibitisha kama ukimaliza kutembea na angalau wanaume weupe 1000 ... Ukija na hizo conclusion kwenye hiyo population.. Angalau ntakusikiliza kama unachosema ni kweli.... Vinginevo ni kama unajaza maji kwenye gunia vile
 
Back
Top Bottom