Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
OohUnajua swahiba humu kuna majukwaa ambayo ban ni kugusa tu, na kama una bahati unapewa onyo!!
Ilibidi nikae kando kidogo ila wanisahau, itabidi sasa hivi nitulie huku tu ambako hakuna vurugu kabisa kama majukwaa mengine! Niwe nakutembelea mara kwa mara
Kule mie kulinishinda kabisa swahiba!!! Kuna kipindi nilikuwa nalia kabisa kuleee ujue... Saivi nawasoma tuu napita, sitii neno mie!!!
Pole mwaya