Nitumie namba zake,ni muhimu mno😀Nilikua nina rafiki yangu wa ethiopia alikua mzuri sanaa, macho ya goroli nywele za singasinga, anawaka kama taa! hadi nikimwangalia ananiumiza macho😂
Kama Morogoro tu hajawahi kufika ndiyo aweze kufika huko kwa Warembo na Werevu Rwanda?Mkuu Rwanda umefika?
Kama Morogoro tu hajawahi kufika ndiyo aweze kufika huko kwa Warembo na Werevu Rwanda?
Kwa simulizi nilizopitia hapa JF, inasemekana wanejazia sana makalio kama ambavyo wanyamwezi wa Tabora wanavyosifiwa.Mwakani nikiwa hai kiuchumi na kimwili,nitajitahidi niende Tabora,miaka ya mbeleni nikiwa hai kiuchumi zaidi,nitaenda Afrika kusini nikadhuhudie pia.
Hivyo una mke wako umemtaja a"Mshinyanga" alafu unaenda kuchakata tupu za wanawake wengine?
Brother nani anajali kuhusu sura sikuizSouth Africa wanawake wengi wana nyama za kutosha ila si wazuri,wengi wana sura za Kia-dzabe!
Kwa upande wangu naona Brazilians ni full package. Duniani.Nigeria,Kenya,Zimbabwe,Kongo wabaya kweli kweli.wengi wana taya nenee.
upande wa maumbo South Africa ni namba 1 Duniani.