Wanawake kutoka Tanzania ni wazuri zaidi ya nchi kadhaa zinazosifika kwa ukubwa hapa Africa

Wanawake kutoka Tanzania ni wazuri zaidi ya nchi kadhaa zinazosifika kwa ukubwa hapa Africa

Kama Morogoro tu hajawahi kufika ndiyo aweze kufika huko kwa Warembo na Werevu Rwanda?

Hii niliiweka makusudi kwasababu nilifahamu kabisa lazima utajitokeza!

Ok! Suala letu la mimi na wewe kukutana tuzichape liliishia wapi?,Kwanini unakua muoga?,au wewe ni KE?

Mwanaume haogopi ngumi,tafadhali naomba tukutane ili nikuonyeshe namna mpumbavu,mjinga na limbukeni anavyo kung"utwa!

Wewe nataka nikufanye uwe mke wangu wa pili baada ya Rehema!
 
Kwa simulizi nilizopitia hapa JF, inasemekana wanejazia sana makalio kama ambavyo wanyamwezi wa Tabora wanavyosifiwa.Mwakani nikiwa hai kiuchumi na kimwili,nitajitahidi niende Tabora,miaka ya mbeleni nikiwa hai kiuchumi zaidi,nitaenda Afrika kusini nikadhuhudie pia.


Wamejaaliwa sana mkuu manayama ya kutosha ila si wazuri!,Mwanamke wa South Africa unakuta ni bonge la Mwanamke (Nyama) ila sura sasa,weiiiiii!
 
Hivyo una mke wako umemtaja a"Mshinyanga" alafu unaenda kuchakata tupu za wanawake wengine?

Mtoto mzuri Donatila huyo Editha aliwahi kuwa mwanamke wangu kipindi fulani nilikuwa shinganya kikazi,niliweka hapa JF simulizi ya kile nilichokishuhudia Shinyanga lakini waliuunganisha na uzi wa "Kula Tunda Kimasihara" ,Mimi niliamua kuufuta kwasababu huwa sitaki Kontenti zangu kuchanganywa naza watu wengine,huko kunikosea heshima na kutothamini juhudi zangu!.

So mi nakupenda wewe mtoto mzuri Donatila
 
Back
Top Bottom