Mr passion
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 202
- 282
- Thread starter
-
- #21
nipo nae na wala siwezi jipa umuhimu kwenye swala linaoleweka lazima ata mwanaume na lazima atazaa na lazima atalea kama alivyolelewa yeye acheni kujizima dataUmuhimu wa kuheshimu wanawake utauona ukianza kupata watoto wa kike, ukianza ku-assume huyu binti yangu hapaswi kujua What is Biology kwa sababu tu ni mwanamke basi wewe mwenyewe utaona nonsense katka bandiko lako.
mbona hatuingi period ndomana mnatakiwa kubaki majumbani tukawatafutie nyie ni sehemu yetu ya faraja baada kazi ngumuNdio, anayofanya mwanaume yote mwanamke anaweza kufanya tukitoa kwenda leba.!
Crew iliyoenda kulinda amani Congo sijaona jinsia yako hata moja,so tupo sawa kwa baadhi ya mambo tu au nini?Kaoe wahdzabe wa huku hatuwezi kukuelewa mkuu, tofauti ya mwanamke na mwanaume ni jinsia tu..!!
Vingine wote tuko sawa..!! Hizo sheria zako za old stone age kasimulie wajukuu zako.! 😹
Kwani wanaume hamuwezi kupika maandazi?mwanaume na mwanamke hawawezi na haitokaa hata siku moja kuwa sawa bwana , kapikeni maandazi
Period ndio inafanya mwanamke asiweze kutafuta pesa?mbona hatuingi period ndomana mnatakiwa kubaki majumbani tukawatafutie nyie ni sehemu yetu ya faraja baada kazi ngumu
Bora nchi ibaki na wanawake 20 ila kuwepo na mwanaume mmoja kwaajili ya upandaji taifa liongezeke…. Sasa wanawake wakifa nani ataongeza taifa?? 😹Crew iliyoenda kulinda amani Congo sijaona jinsia yako hata moja,so tupo sawa kwa baadhi ya mambo tu au nini?
naamini uelewa wako ni mkubwa ila unajifanya kujizima data ni wanawake mlioachika tu ndo ua mnajilinganisha na wanaume ila bado wewe ni dhaifu unaitaji kulelewaPeriod ndio inafanya mwanamke asiweze kutafuta pesa?
Hayo ni maumbile ya kike yaliyowekwa kwa uwiano ili kufanya uzalishaji..!!
😹😹😹 Najizima data vipi?naamini uelewa wako ni mkubwa ila unajifanya kujizima data ni wanawake mlioachika tu ndo ua mnajilinganisha na wanaume ila bado wewe ni dhaifu unaitaji kulelewa
uko nikuniponza tusifike uko au ndo unipendi kweli😹😹😹 Najizima data vipi?
Mama Samia mbona rais na anaongoza, kwani maumbile yake ya kike yanamzuia kuwa kiongozi??
Halafu mi sijaolewa sasa nimeachika lini mkuu? 🤣
Njoo unilee basi 😹
Mwanaume na mwanamke wako sawa kivipi kama kila unachokiona duniani kwa asilimia 99 ni juhudi na kazi ya wanaume?Kaoe wahdzabe wa huku hatuwezi kukuelewa mkuu, tofauti ya mwanamke na mwanaume ni jinsia tu..!!
Vingine wote tuko sawa..!! Hizo sheria zako za old stone age kasimulie wajukuu zako.! [emoji81]
Ila sijaskia mkililia haki sawa kwenda goma kuwafukuza m23! nimeona ni me pekee ndio wameelekea huko!Kaoe wahdzabe wa huku hatuwezi kukuelewa mkuu, tofauti ya mwanamke na mwanaume ni jinsia tu..!!
Vingine wote tuko sawa..!! Hizo sheria zako za old stone age kasimulie wajukuu zako.! 😹
Somo dogo tu “social construct “ limekushinda.Ameumbwa kutumikia familia na sio kufanya kazi za kuleta pesa nyumbani uko ni kuungilia majukumu yetu wanaume
Mleta mada si kwamba haeshimu wanawake,alichoongea ndo heshima yenyewe,!!,mke ni kulea watoto na kutunza mji,mwanaume alete mahitaji mhimu baasi,,hivi mwajua ni raha sana mme arudipo kwake akapokewa na mkewe tena kwa bashasha kubwa,, saikological akili inapata utulivu na kufanya kazi vyema,na mke the same,tandani ndo usiseme!!,kuliko unapokewa na house boy au girl!??au hata mwanao,shame on you!!,Umuhimu wa kuheshimu wanawake utauona ukianza kupata watoto wa kike, ukianza ku-assume huyu binti yangu hapaswi kujua What is Biology kwa sababu tu ni mwanamke basi wewe mwenyewe utaona nonsense katka bandiko lako.
Wewe mwenyewe hapo umetuliza vipira, kwann hukwenda na wanaume wenzio kuwang’oa M23 😹😹😹Ila sijaskia mkililia haki sawa kwenda goma kuwafukuza m23! nimeona ni me pekee ndio wameelekea huko!
Km kazi zipi? Mliumba nini nyota au mwezi? 😹Mwanaume na mwanamke wako sawa kivipi kama kila unachokiona duniani kwa asilimia 99 ni juhudi na kazi ya wanaume?
Siku mwanamke akianzisha vita tutaenda.Ila sijaskia mkililia haki sawa kwenda goma kuwafukuza m23! nimeona ni me pekee ndio wameelekea huko!
Ulinzi uimarishwe kwene hii comment 🤣🤣 kitawaka sio muda mrefuKaoe wahdzabe wa huku hatuwezi kukuelewa mkuu, tofauti ya mwanamke na mwanaume ni jinsia tu..!!
Vingine wote tuko sawa..!! Hizo sheria zako za old stone age kasimulie wajukuu zako.! 😹
Binti kiziwi upo lakni?Somo dogo tu “social construct “ limekushinda.