Wanawake kuweni na ushirikiano kwenye tendo la ndoa

Wanawake kuweni na ushirikiano kwenye tendo la ndoa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan watu watakufa wakiwa hoi.
[emoji2]
tapatalk_1588499088621.jpg
 
wanaume Wengine hawapendi makelele,
ukimwambia ndo chanzo cha kuanza kukufatilia fatilia na wivu kibao mpaka kero.

Ataanza kufatilia umeyajulia kwa michepuko gani.

Wee usisubiri akuulize yeye,
wee jiongeze tu mfanyie uone Ni jins gan atafurahi[emoji4]

Hahahaha sawa boss
 
Nnachoongea Ni kweli kabisa mkuu,

wee mwenyewe
1. jiulize Ni Mara ngapi umeshiriki sex kwa kukaa juu ya mwenzi wako ukaisugua vilivyomwagwa mpaka akakojoa.
Au mda mwingi unakaaga TU kifo Cha mende apambane TU mwenyewe.

2. Jiulize Ni Mara ngapi amekuzamia chumvini, je na wee ni marangapi umewai mfanyia BJ.
Au ndo bado unachukulia Ni uhuni? Au wee ndo unakinyaaa peke ako? Au unafikiri yeye hapendi?

Ni vitu vidogo vidogo vinatunogeaga Sana kwenye kusex, Sema wanawake wengi mnajisahau.

Hehheheheh vyote ulivyouliza mkuu mbona namfanyiaga jaman
Au ngoja nimuite aje kua shahidi wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake hisia zetu huanzia kichwani,kama kuko settled kazi huwa rahisi sana
Tatizo linakuja pale mwanaume asubui umemuita mkeo mpumbavu alafu ukirudi jion unataka akurushe roho kisawasawa
Haiwezekani kabisa hapo,nakuhakikishia utachepuka adi Yesu akirudi akukute kifuani kwa mchepuko!
 
Heri ya mwaka mpya.

Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa dada zangu ingawa sio wote ila walio wengi. kwa wale wanaume maabaharia wanaelewa namaanisha nini ila kwa wale waaminifu kwenye mahusiano yao sio rahisi kuelewa.

Unakuta uko na mwanamke faragha kwa ajili ya shughuli moja tu ya kuvunja amri ya sita bila huruma, sasa unakuta mwanaume unajituma kumuandaa mwenzako lakini mwanamke yupo tu anakuvutia hisia yaani akijitahidi sana anaweza fanya vitu vitatu au viwili.

Yaani kushika ndizi hadi aone imesimama, au kukupa denda ila kama ni mtalaamu wa kula koni basi atajitutumua hapo akijua ndio kamaliza.. na wanawake huwa mnahisi ni nyie tu ndio wa kuandaliwa na sio nyie kumuandaa mwanaume....

Halafu mda wa tendo ndio kabisa, unakuta mwanamke yuko bize kukata mauno tu au kukutengea kama gogo na kuvuta shuka la tandiko.

Wewe mwanaume ndio ujihudumie mwenyewe note ni kwamba wanawake msikariri kwamba ni nyie tu ndio mfanyiwe romance na we pia hakikisha mwanzo mwisho unatoa ushirikiano wa kutosha
Miaka ya 80 na 90 mna tabu... Enzi zangu 1970s nlikuw nawasha moto ujiandae usijiandae uniandie usiniandae mpak unafika...
Acheni uzungu na ujibebishaji
 
Maelezo yapi Tena mkuu,

Kifupi
Huyu Ni majasiliamali wa ile biashara yetu kongwe.
Ila yeye anaifanya kwa mfumo wa VIP,

Mfumo wa VIP Ni kwamba unahudumiwa kwa mfumo wa SIKU nzima Kama ambavyo ungehudumiwa na mwanamke uliyemuweka ndani anayetambua nn thamani ya mwanaume ili kulifaidi tunda la Mti wa kati

kuanzia
[emoji117]Unapewa breakfast ya nguvu.
strawberry,chocolate, yogurt n.k
[emoji117]Unafanyiwa scrub usoni,
[emoji117]Anakunyoa kitaalam zaidi.
[emoji117]Anakusafisha kucha na kunyoosha vidole.
[emoji117] Unalishwa matunda
[emoji117] kuoshwa miguu na mafuta ya mzeituni , [emoji117]kuogeshwa mwili mzima na maziwa ya mbuzi ya uvuguvugu,
[emoji117] zile massage za kijapani,
[emoji117]BJ,
na Mwisho wa SIKU show ya uhakika isiyo na chembe ya uvivu Wala kuboa.

AISEE,
Ukitoka pale mwili wote unakua Ni mwepesi.
KISHA unaendelea na shughuli zako za kujenga TAIFA.
Unakaa kabisa unaogeshwa na maziwa ya mbuzi ya vuguvugu? ukitoka hapo unanuka/nukia nini?

Dunia imeshanishinda aisee!
 
Kweli wanaume mnatofautiana! Mwingine raha kwake ni kuona ukiusikilizia kisawasawa. Wanaume wengine wana hisia bwana! Akiona mwili wa kike, akasikia sauti ya kike, akaja kuona K, mambo yanaishia hapo, Kama anataka mfanye siku hizo basi anatoka akitoka kuoga mnara unasoma 4G inabaki kazi kazi.

Nothing more, nothing less.
 
Mtoa mada uko sahihi kabisa. Ifikie wakati hawa ndugu zetu nao watambue fika jukumu la faragha ni la wote!

Haiwezekani jukumu la kumfikisha kilele cha mlima liachwe kwa mtu mmoja tu, huku yeye mwenyewe akijigeuza kuwa gogo la mti. Huu uzembe unachangia sana baadhi yetu kwenda kucheza mechi za ugenini.

Wanawake mnatakiwa mbadilike kwa kweli. Huu mwaka 2022 hatuta wavumilia hata kidogo. Tutachukua hatua stahiki.

Yani mwanaume unaandaliwa nini mkuu? Na wewe unataka uwe wet??? Embu acheni ufala aisee men andaaa msichana akilowa ingiza peleka moto sasa hii muandaliwe mtakuja kunyonywa trako ndo mtajua hamjui
 
Yani mwanaume unaandaliwa nini mkuu? Na wewe unataka uwe wet??? Embu acheni ufala aisee men andaaa msichana akilowa ingiza peleka moto sasa hii muandaliwe mtakuja kunyonywa trako ndo mtajua hamjui
Wewe pamoja na baadhi ya wenzako wachache naona mnapotosha lengo zuri la mtoa mada. Sijui mnafanya hivi kwa makusudi, au ni kwa sababu hamkumuelewa! Hoja hapa siyo mwanaume kuandaliwa na mwanamke! Na hata hizo porojo nyingine ulizo ziandika hapo juu sidhani kama zina mashiko.

Nilichounga mkono mimi ni kitendo cha baadhi ya wanawake kushindwa kutoa ushirikiano wawapo faragha na wapenzi/waume zao (ungekuwa ni mwanamke, nadhani ungenielewa namaanisha nini ninaposema hivi)! Hivyo jambo hilo humfanya mwanaume kukosa/kupoteza msisimko kwa mpenzi/mke wake.

Wapi nimeandika katika maelezo yangu nataka kuandaliwa na mwanamke? Ungesoma kwa umakini, ungenielewa! Mapenzi mazuri kati ya mwanamke na mwanaume, ni yale ya wote wawili kuwepo eneo la tukio kiakili na kimwili! Haileti mantiki unamuandaa mtu halafu yeye anakuangalia/ametulia tu. Wanawake wanaojitambua, huwa hawafanyi hivyo.
 
Wewe pamoja na baadhi ya wenzako wachache naona mnapotosha lengo zuri la mtoa mada. Sinjui ni kwa makusudi, au ni kwa bahati mbaya! Hoja hapa siyo mwanaume kuandaliwa na mwanamke! Na hata hizo porojo nyingine ulizo ziandika hapo juu sidhani kama zina mashiko.

Nilichounga mkono mimi ni kitendo cha baadhi ya wanawake kushindwa kutoa ushirikiano wawapo faragha na wapenzi/waume zao (ungekuwa ni mwanamke, nadhani ungenielewa namaanisha nini ninaposema hivi)! Hivyo jambo hilo humfanya mwanaume kukosa/kupoteza msisimko kwa mpenzi/mke wake.

Wapi nimeandika katika maelezo yangu nataka kuandaliwa na mwanamke? Ungesoma kwa umakini, ungenielewa! Mapenzi mazuri kati ya mwanamke na mwanaume, ni yale ya wote wawili kuwepo eneo la tukio kiakili na kimwili! Haileti mantiki unamuandaa mtu halafu yeye anakuangalia/ametulia tu. Wanawake wanaojitambua, huwa hawafanyi hivyo.
Mkuu mi nakuelewa sana asiyekuekewa amezoea kununua dada poa,yaani mini manka wangu wakati wa show anachat na simu mi huku napump tu
 
Back
Top Bottom