Wanawake kuweni na ushirikiano kwenye tendo la ndoa

Wanawake kuweni na ushirikiano kwenye tendo la ndoa

Vyovyote utakavyotaka,
Ila unatakiwa ujue ile Ni biashara Kama biashara nyingine.
ukichanganya biashara na mapenz ujue lazima utafeli.

kule unalipia unaenda kufata ngono tu na sio mapenzi.

Mapenz unatakiwa uendelee kumpenda mkeo sana, hizo ngono za kukata na shoka katafte kwingine.

Wanaume wengi tunaweza kutofautisha Kati ya ngono na mapenz.

Wee unakwama wapi mkuu[emoji2]?
Sasa hio sanaa ya ufanyaji ngono ndio naiitaji pia niipate kwa mke wangu
 
Kwenye ndoa sisi wanaume tunafanya tu kutafuta watoto. Maraha tunayapata nje.
 
achana na hizo issue za kujitesa, we yafaa ukifika unaingiza unasugua ukimaliza unashuka unapumzika zikija tena unapanda unasugua ukimaliza unavaa zako unaondoka. hayo maswala ya kumwandaa acha mishikaki iandaliwe ila si yeye ka hajishughulishi
Una roho ngumu sana😂😂🙌 pand shuka kwani ghorofa hilo😂
 
Heri ya mwaka mpya.

Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa dada zangu ingawa sio wote ila walio wengi. kwa wale wanaume maabaharia wanaelewa namaanisha nini ila kwa wale waaminifu kwenye mahusiano yao sio rahisi kuelewa.

Unakuta uko na mwanamke faragha kwa ajili ya shughuli moja tu ya kuvunja amri ya sita bila huruma, sasa unakuta mwanaume unajituma kumuandaa mwenzako lakini mwanamke yupo tu anakuvutia hisia yaani akijitahidi sana anaweza fanya vitu vitatu au viwili.

Yaani kushika ndizi hadi aone imesimama, au kukupa denda ila kama ni mtalaamu wa kula koni basi atajitutumua hapo akijua ndio kamaliza.. na wanawake huwa mnahisi ni nyie tu ndio wa kuandaliwa na sio nyie kumuandaa mwanaume....

Halafu mda wa tendo ndio kabisa, unakuta mwanamke yuko bize kukata mauno tu au kukutengea kama gogo na kuvuta shuka la tandiko.

Wewe mwanaume ndio ujihudumie mwenyewe note ni kwamba wanawake msikariri kwamba ni nyie tu ndio mfanyiwe romance na we pia hakikisha mwanzo mwisho unatoa ushirikiano wa kutosha
Mnalalamika sana...

Wenyewe mpo hivyo hivyo baadhi yenu tunawastahi tu.
 
Shule zifunguliwe tu haraka maana hawa wanafunzi hawajui watendalo kipindi hiki cha likizo
 
Wewe pamoja na baadhi ya wenzako wachache naona mnapotosha lengo zuri la mtoa mada. Sijui mnafanya hivi kwa makusudi, au ni kwa sababu hamkumuelewa! Hoja hapa siyo mwanaume kuandaliwa na mwanamke! Na hata hizo porojo nyingine ulizo ziandika hapo juu sidhani kama zina mashiko.

Nilichounga mkono mimi ni kitendo cha baadhi ya wanawake kushindwa kutoa ushirikiano wawapo faragha na wapenzi/waume zao (ungekuwa ni mwanamke, nadhani ungenielewa namaanisha nini ninaposema hivi)! Hivyo jambo hilo humfanya mwanaume kukosa/kupoteza msisimko kwa mpenzi/mke wake.

Wapi nimeandika katika maelezo yangu nataka kuandaliwa na mwanamke? Ungesoma kwa umakini, ungenielewa! Mapenzi mazuri kati ya mwanamke na mwanaume, ni yale ya wote wawili kuwepo eneo la tukio kiakili na kimwili! Haileti mantiki unamuandaa mtu halafu yeye anakuangalia/ametulia tu. Wanawake wanaojitambua, huwa hawafanyi hivyo.

Sasa ushirikiano upi mkuu unautaka kwa ke? Labda na Mimi sielewi
 
Back
Top Bottom