Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Adi wewe ๐Mpaka kuwe na umuhimu wa kufanya hivyo vinginevyo wala sihangaiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman, si mmesema siku ya kwanza? Sasa ile tumekutana tu mimi kiukweli huwa sisave namba siku za mwanzo ila mawasiliano yakiendelea ndio nitajua nasave namba ama napotezea.Adi wewe [emoji28]
Sikutegemea. Inakuaje unajenga/unaruhusu ukaribu na mtu ambae unajua fika kuwa humuitaji?
Nazungumzia baada ya muda kupita mawiki na miezi na mmezoeana plus mengineyo lakin bado unakuta haijaseviwaJaman, si mmesema siku ya kwanza? Sasa ile tumekutana tu mimi kiukweli huwa sisave namba siku za mwanzo ila mawasiliano yakiendelea ndio nitajua nasave namba ama napotezea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani nimekupata kuna mmoja niliwahi kuchukua number yake nampigia tuzungumze anauliza nani mwenzangu nikamwambia fulani nikajua tu huyu hajaisave akajibu sijakupata nami sipendi kujieleza kabisa eti sijui nianze kumwelezea tulikuta wapi wakati haijapita muda nilichat nae vizuri nilivyoona hivyo tu nikamkatia simu na number yake nikaifuta siku hiyo hiyo nakujakushangaa imepita kama wiki Tatu anaanza kunitumia message yeyenyewe nilijua ni yeye nilivyoangalia number yake ya usajili na ananitupia lawama mbona message zake sizijibu na pia simtafuti vipi huyu mdada unamweka kwenye kundi gani? Eti Daby mshamba_hachekwiKwa wengine sijui ila kwangu ndio nipo na huo utaratibu hadi kuwe na umuhimu wa kufanya hivyo vinginevyo nitasave namba za wangapi?
Sema mmekariri wimbo wa tafuta hela mtu ujui hata mazingira ya mimi niliyokutana na huyo manzi ushahitimisha story sisi wabongo sijui tunatatizo wapiKuwa na hela tu na umuhumi namba unaombwa, na wanakuuliza baba tuku save vipi .. yani hata ukigonganisha jina ulie mkuta atafutwa una seviwa wewe
๐ ukiongeleshwa si unajibu na wewe.....hamna formula jamani kwani mtu asipokusave ina maana anakuchukia moja kwa moja?? eti Leejay49Shukrani nimekupata kuna mmoja niliwahi kuchukua number yake nampigia tuzungumze anauliza nani mwenzangu nikamwambia fulani nikajua tu huyu hajaisave akajibu sijakupata nami sipendi kujieleza kabisa eti sijui nianze kumwelezea tulikuta wapi wakati haijapita muda nilichat nae vizuri nilivyoona hivyo tu nikamkatia simu na number yake nikaifuta siku hiyo hiyo nakujakushangaa imepita kama wiki Tatu anaanza kunitumia message yeyenyewe nilijua ni yeye nilivyoangalia number yake ya usajili na ananitupia lawama mbona message zake sizijibu na pia simtafuti vipi huyu mdada unamweka kwenye kundi gani? Eti Daby mshamba_hachekwi
mimi hayo mambo ya mapenzi nishaachaga, natafta mbususu tu ๐ hizo drama hazinipi stress, sasa nyie kazi mnayo.....Sometime hawa wadada Wana utoto mwingi baadhi yao mtu kakuonesha hakui inakuaje baadae anaonesha anakuja kama sio utoto ni nini?
ndo nashangaa hapo๐wanaume wengine tunajisumbua na vitu vidogovidogo sana....unamjibu tu jamani Kwani shida iko wapi eti
halafu badae mnaanza kulialiando nashangaa hapo๐wanaume wengine tunajisumbua na vitu vidogovidogo sana....
sema hata mwanamke ukiona sijakusave lazima uchukulie vibaya......halafu badae mnaanza kulialia
inauma ndyo, tena ukute mmechati mpaka mwezi kabisa halafu siku ushike simu hajakusave, me huwa nawaza tu atakua nao wengisema hata mwanamke ukiona sijakusave lazima uchukulie vibaya......
basi tuvumiliane tu ๐ kila mtu anamuhisi mwenzake....inauma ndyo, tena ukute mmechati mpaka mwezi kabisa halafu siku ushike simu hajakusave, me huwa nawaza tu atakua nao wengi
msave tu ata jina la sehemu mliyokutana๐ ilimradi namba isibaki hivihivibasi tuvumiliane tu ๐ kila mtu anamuhisi mwenzake....
.........Kelsea......Mpaka kuwe na umuhimu wa kufanya hivyo vinginevyo wala sihangaiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke anaangalia status, hili linatumuweka aone umuhimu wako pamoja na pesaSema mmekariri wimbo wa tafuta hela mtu ujui hata mazingira ya mimi niliyokutana na huyo manzi ushahitimisha story sisi wabongo sijui tunatatizo wapi