Hahaha[emoji1787]Mimi Kuna mdada alinipenda nikiwa form6 sikuwa na time na yeye.Baadaye nikaona Bora niingie kwenye relationship na yeye.Nikatokea kumpenda Sana.Matokeo yake sasa ikifika muda wa prepo usiku Ile saa Moja kabla ya kengele ya kurudi bwenini alafu darasa letu lipo kimyaaaa tunasoma hata sindano ikidondoka unasikia anakuja ananiita jina langu Kwa Sauti kubwa nje ya darasa letu.Watu wote wanamsikia hapo.Alinivunjia heshima nikaamua kupiga chini.Hapo ndyo nilianza kutambua wanawake Wana tabia za kitoto ni nature don't take them serious.
Ukimtishia anajidai analia unamuonea[emoji1787]