Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

Tunaweka ulinzi shirikishi!
Kuna mmoja aliacha khanga kwa mwanaume, sasa demu wake na jamaa alivyokuja akamuuliza hii khanga ya nani?
Jamaa akajibu, โ€œYa kwangu navaa nikiwa nasikiliza taarabuโ€ [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanini lakini?

Umenikumbusha hiyo moja nilisoma mahali...Demu alikuta highheels kwa jamaa...
Akamuulizia ni za nani? Jamaa akamjibu huwa anavaa wakati anaanika nguo sababu kamba ziko juu sana[emoji1]
 
Naongezea hapo ladies mkikuta blue band, tray za mayai na makopo ya maziwa hasa NIDO Kwa nini mnatumia Kwa fujo kama kesho hamji tena?
KUNA MMOJA ALIKUA ANATUMIA MAFUTA MENGI MNO KWENYE MBOGA,NIKAMUAMBIA MAMAAA UNANITAFUTIA MAGONJWA YA MOYO??
KUMBE CHIEF MWENYEWE NILIKUA NATARGET BAJETI KALI YA MAFUTA
 
Hii sio ngeni ni ya enzi za 1960!
 
Mkuu yule dada aliambiwa na wambea kuna mtu anakujaga sasa akafatilia lakini akakosa ushahidi. Na tayari ana Pete ya uchumba kidoleni. Usiombe kukutana na wanawake wakorofi.
kuna mmoja nishawahi kutana nae mtu wa iringa aise ni mkorofi ni mfupi ila ana balaaa,,,nilimpiga mkwara mmoja mpaka akawa ananiogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ