Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

Kwanini uniachie nguo ambazo sizivai? πŸ˜€
 
Ahh nina mbinu zangu hizo aisee hatari sana.. mie hata nikienda kulewa kuna namna ya kuseti glass (nikitoka kwenda Washroom) kama imeguswa au kuwekwa kitu najua.
Kaka tuna akili sawa, huwa hata nikitoka kwenda mahali na-scan nyumba nzima na naweka alama zangu, nikirudi ntajua tuu kama kuna mtu kagusa kitu changu au katumia vitu vyangu, nakariri hadi level ya maji nilioacha kweny chupa ili mtu asije akaongeza kitu kibaya.

Inabidi uishi kama jasusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…