Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

Kuna wale wanaoacha sehemu usiyoijua. Halafu mwingine akija anaanzia hapo usipopajua na anagundua kuna mwenzake.

Ukiulizwa una mwanamke mwingine, jibu kwa akili. Kwasababu hakuna swali analouliza mwanamke bila kuwa na majibu.
Hahaha..
Si tulikubaliana hata akikukuta tayari mtwangio umo ndani ya mbususu unaendelea kuzagamua dawa mujarab ni kukanusha?!
 
Sahivi tutakua tunakuja na ushahidi wa nguo hata 3 moja inaachwa bafuni, nyingine kabatini, nyingine uvunguni, ili ukificha ushahidi wa bafuni bado wa kabatini na uvunguni utakuumbua tu. But why tusitulie tu na mpenzi mmoja jamani?[emoji3][emoji2222]
Ukitoka tuu unapigwa "MKAGUO" wa maana , kama ule wa usafi primary miaka hiyo.
 
Kama alikuja usiku mashambilizi yanaanz Asubuhi..
Anachemsha mayai sita ili mle matatu Kama una unga wa ngano anapika chapati za kumimina hapo ataweka mayai sukari cjui unga hapo bado ajacheza na hizo NIDO sa nne nne hv anaruka na ka juisi mchana ndo kabisaaa

Yaani anahakikisha Kila kinacholika anakigusa afu hapo anavoondoka anabeba Sweta lako afu una mpa na nauli

WANAWAKE WANA ROHO NGUMU SANA
Sijui wanawake wa wapi hao. I can't relate.
 
Mimi ninaacha pale naona huyu mtu anataka niache siachi tu. Hovyo . Akili ni mali yako nguo pia ni mali yako so unavyoacha kwa mtu hajataka uache unaweza kulogwa , kutupiwa vitu ulivyoviacha so ni bora kwanza ujiheshimu uwe naakili kuwa hujaolewa unaacha kwa nyumba yanani na kwanini
 
Back
Top Bottom