Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

Kama alikuja usiku mashambilizi yanaanz Asubuhi..
Anachemsha mayai sita ili mle matatu Kama una unga wa ngano anapika chapati za kumimina hapo ataweka mayai sukari cjui unga hapo bado ajacheza na hizo NIDO sa nne nne hv anaruka na ka juisi mchana ndo kabisaaa

Yaani anahakikisha Kila kinacholika anakigusa afu hapo anavoondoka anabeba Sweta lako afu una mpa na nauli

WANAWAKE WANA ROHO NGUMU SANA
😀😀😀😀
 
Aliyesema tuishi na mwanamke kwa akili hakukosea, Hawa viumbe wana mbinu nyingi za kivita Leo nawaletea hii moja iko hivii

Kuna mbinu imezuka mtu anakutembelea akitoka anaacha chochote, Hereni /khanga /Kyupi 😀😀

JAMAA YANGU ALALAMIKA, baada ya kuzagamuana na mrembo X, hakujua Kama aliacha hereni zake ndani kwake! Siku alivyokuja "main mazahausi tubii" akaanza kufanya usafi, timbwili likaanza. Alikutwa na ushahidi 😀😀😀

MIMI NILIKOSWAKOSWA, siku moja nilishangaa kukuta nguo isiyo yangu, kwenye kabati nikashangaa! Kumuuliza mhusika anasema kwani kuna shida?

AU ni njia ya ulinzi kwamba Y akiacha vitu vyake hategemei, mwanaume wake kuja na mwingine?

Eti ladies wa MMU mnaacha kwanini vitu mkitutembelea?mnavisahau au vipi? 😀 mshawahi kusikia hilo? Na wazee wa masihara mshawahi kuachiwa vitu
Wanawake wa fm4 na darasa la saba ndiyo zao
 
Chapa ilale hafiki nyumbani kwangu. Nyumbani mamsapu wangu ana ufunguo wake, anajiendea muda atakao. Na ukiingia utajua tu nyumba hii ina mwanamke, nguo zake zipo wazi kabisa na sifichi.
Uzuri nawaambiaga nimeowa, kumbe senior bachelor.
 
Chapa ilale hafiki nyumbani kwangu. Nyumbani mamsapu wangu ana ufunguo wake, anajiendea muda atakao. Na ukiingia utajua tu nyumba hii ina mwanamke, nguo zake zipo wazi kabisa na sifichi.
Uzuri nawaambiaga nimeowa, kumbe senior bachelor.
Swali ni kwamba kwanini anaacha nguo ilhali hujamuoa?
 
Nimetoka kugegeda nje nikarudie home kumbe nanukia pafumu ya mchepuka ,
 
Back
Top Bottom