Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

Aliyesema tuishi na mwanamke kwa akili hakukosea, Hawa viumbe wana mbinu nyingi za kivita Leo nawaletea hii moja iko hivii

Kuna mbinu imezuka mtu anakutembelea akitoka anaacha chochote, Hereni /khanga /Kyupi πŸ˜€πŸ˜€

JAMAA YANGU ALALAMIKA, baada ya kuzagamuana na mrembo X, hakujua Kama aliacha hereni zake ndani kwake! Siku alivyokuja "main mazahausi tubii" akaanza kufanya usafi, timbwili likaanza. Alikutwa na ushahidi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

MIMI NILIKOSWAKOSWA, siku moja nilishangaa kukuta nguo isiyo yangu, kwenye kabati nikashangaa! Kumuuliza mhusika anasema kwani kuna shida?

AU ni njia ya ulinzi kwamba Y akiacha vitu vyake hategemei, mwanaume wake kuja na mwingine?

Eti ladies wa MMU mnaacha kwanini vitu mkitutembelea?mnavisahau au vipi? πŸ˜€ mshawahi kusikia hilo? Na wazee wa masihara mshawahi kuachiwa vitu
Wanakuwa wamenunua kiwanja.Lazima waweke "bikoni"!
 
Mimi kila akija anaacha nguo moja sasa hivi kuna begi zima sijui itakuwaje
 
Wewe inatakiwa niende Mloganzila nikapandikize dyudyu nije nikubebee wife wako ndo utaniheshimu km jirani yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
wife wangu yupi tena, kumbe nna wife na sijuiπŸ˜‚πŸ˜‚
Msalimieni sana huyo mke wangu mwambie awahi upwiru unakaba koo.
 
Zamani sana nikiwa nadate nilikuta nguo ya ndani bafuni na zangu zilikua zimefichwa vizuri kwenye bag chini kabisa.....sikuwahi kurudi ndiyo ikawa mwisho

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mfyuuu!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nazichanga nikafanye surgery mtakoma na wake zenu
We nenda uone kama hiyo mbβ€’β€’ ya sajari haijaota mizizi πŸ˜‚
Kumbe huwa mnataman mngekuwa wanaume mtembeze rungu?
 
Acha uzinzi
Umri huo unapishanisha wanawake geto,badilika,ujana maji ya moto.
 
Ndio maana tukapewa tahadhali tuishi nao kwa akili, akija Getto tuu jiandae muda wote kutoa majibu kwa maswali ya vitu atakavyo viona, hata ukimdanganya analidhika usiwe na wasi wasi unapokua unatoa majibu yako hata kama utahisi ulivyo ongea umepuyanga jikaze tuu atajaa kwenye mfumo kwa sababu kwa bahati mbaya wanapo acha vitu vyao ni mwanamke tuu anaweza kuviona kwa haraka
 
Ningekua na mbolo wangejuta!!!
Acha kuntisha iote mizizi umekuwa mbuyu?!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umesema ungekuwa na nini? Umeiitaje πŸ˜‚πŸ˜‚
mb0lo ni ya mbuzi πŸ˜‚

We nenda uone kama haijaota mizizi.

Kwahiyo unatushaurije wenye fimbo.?
 
Umesema ungekuwa na nini? Umeiitaje πŸ˜‚πŸ˜‚
mb0lo ni ya mbuzi πŸ˜‚

We nenda uone kama haijaota mizizi.

Kwahiyo unatushaurije wenye fimbo.?
Ushauri wangu zidisheni uzalishaji πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Back
Top Bottom