Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

Wanakuwa wamenunua kiwanja.Lazima waweke "bikoni"!
 
Mimi kila akija anaacha nguo moja sasa hivi kuna begi zima sijui itakuwaje
 
Mmoja huyo akaja nikawa nimemnunulia shanga zikawa kubwa kidogo ikabid tupunguze, bana bana! Zile kitu si zikaanza kumwagika na maza mjengo sio mtu wa shanga!

Umewahi kufagia ukidhani unatoa uchafu kumbe ndio kwanza unautawanya
 
Wewe inatakiwa niende Mloganzila nikapandikize dyudyu nije nikubebee wife wako ndo utaniheshimu km jirani yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
wife wangu yupi tena, kumbe nna wife na sijuiπŸ˜‚πŸ˜‚
Msalimieni sana huyo mke wangu mwambie awahi upwiru unakaba koo.
 
Zamani sana nikiwa nadate nilikuta nguo ya ndani bafuni na zangu zilikua zimefichwa vizuri kwenye bag chini kabisa.....sikuwahi kurudi ndiyo ikawa mwisho

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mfyuuu!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nazichanga nikafanye surgery mtakoma na wake zenu
We nenda uone kama hiyo mbβ€’β€’ ya sajari haijaota mizizi πŸ˜‚
Kumbe huwa mnataman mngekuwa wanaume mtembeze rungu?
 
We nenda uone kama hiyo mbβ€’β€’ ya sajari haijaota mizizi πŸ˜‚
Kumbe huwa mnataman mngekuwa wanaume mtembeze rungu?
Ningekua na mbolo wangejuta!!!
Acha kuntisha iote mizizi umekuwa mbuyu?!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha uzinzi
Umri huo unapishanisha wanawake geto,badilika,ujana maji ya moto.
 
Ndio maana tukapewa tahadhali tuishi nao kwa akili, akija Getto tuu jiandae muda wote kutoa majibu kwa maswali ya vitu atakavyo viona, hata ukimdanganya analidhika usiwe na wasi wasi unapokua unatoa majibu yako hata kama utahisi ulivyo ongea umepuyanga jikaze tuu atajaa kwenye mfumo kwa sababu kwa bahati mbaya wanapo acha vitu vyao ni mwanamke tuu anaweza kuviona kwa haraka
 
Ningekua na mbolo wangejuta!!!
Acha kuntisha iote mizizi umekuwa mbuyu?!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umesema ungekuwa na nini? Umeiitaje πŸ˜‚πŸ˜‚
mb0lo ni ya mbuzi πŸ˜‚

We nenda uone kama haijaota mizizi.

Kwahiyo unatushaurije wenye fimbo.?
 
Umesema ungekuwa na nini? Umeiitaje πŸ˜‚πŸ˜‚
mb0lo ni ya mbuzi πŸ˜‚

We nenda uone kama haijaota mizizi.

Kwahiyo unatushaurije wenye fimbo.?
Ushauri wangu zidisheni uzalishaji πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…