Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
๐๐๐A
Akhera madukani wanasemaje mkuu๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐A
Akhera madukani wanasemaje mkuu๐๐๐
Usipigwe vizinga we nani?!๐ punguzeni vizinga
Na hamtokaa muwe nazo kweli๐Usipigwe vizinga we nani?!
Wanawake wote wa Tz hatunaga pesa ๐๐
๐๐๐Na hamtokaa muwe nazo kweli๐
Alikuweza [emoji2][emoji2]Yule dada alikuja na picha mbili za ukutani moja alibandika sebulen nyingine akaweka chumbani. Ya sebuleni ilikuwa ya fremu ya chumbani ilikua ukutani yaani ukiibandua inachanika.
Yule ni mke kasoro tu kuofficialize.Swali ni kwamba kwanini anaacha nguo ilhali hujamuoa?