Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,394
Hahah nyie huruma mnayo? Mwanaume sio mtu wa kumuonea huruma. Atamzalisha mwanamke amuache, atamuoa amnyanyase. Ata date nae kumchezea tu.
Yani dada zangu kaa mkijua kama huyo bwana ako hutamtengeneza utakua unaachwa kila siku mpaka utajihisi una gundu.
Sent using Jamii Forums mobile app