Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

Mdada kuwa smart kichwani na kitandani, hapo utampelekesha kwa remote, siyo uawaza upuuzi muda wote utabanduliwa hadi useme basi.
 
Wale wamechoka maisha yasiyokuwa na Uhuru binafsi! Hii mambo ya Royal family kwenye dunia ya sasa hayana maana hata kidogo. Nawapongeza sana Prince Harry na mkewe Meghan kwa ujasiri waliounyesha. Mwanzo wa ngoma ni lele..
 
Kilo 5 za mtoto na kichwa kinapitamo humo na kitu kinarudi ije. Nanihii gani kubwa kuzidi mtoto?
bado haujaweza nielewa soma vizuri. sina maana hiyo, nina maana kuinhiliwa ma wanaume tofauti na sio kuzaa, kuzaa hakuleti harufu ya K
 
Hata wewe nikikuweka kwenye chupa unakua type yangu tu utake usitake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! hii hatari sana mwanamke unataka kuilinda ndoa yako kwa ushirikina badala ya kifuata njia zilizo sahihi? sorry to say this ila kuna wanawake wengine ni wapumbavu sana... kuna mwanamke mmoja alishaniombaga picha yangu nikampa nahisi alienda kufanyia mambo kama hayo maana alikuwa ni mswahili kwelikweli(infact, ni wengi nimeshawapa picha zangu ila huyu nna wasiwasi naye zaidi).. lakini leo namuonaga tu kwenye mitandao ya kijamii anaweka zile sura za kutafuta bwana.. kashazalishwa na kuachwa pole zake
 
Mambo ya kupiga magoti kwa wakwe yashapitwa na wakati.

Wanawake siku hizi wamesoma na wana mishahara yao. Wanaume muanze kujipanga

View attachment 1320201
let me tell you something no matter how do you think youre educated or what kind money you do have you will always going to being somebody wife, bitch, side chick and dicked for all your life na kingine huyo ni mzungu mmoja mpuuzi asiye kuwa na akili kuweka ndoa mbele kuliko familia iliyomkuza na kumfanya kuwa yeye alivyo ndoa hizi ni kubet kesho ipo keshokutwa haipo. njoo africa kama kuna mwanaume atakaye kubali kujitenga na familia yake kisa mwanamke you out of your damn mind
 
Ok ok, ila sehemu za siri zitaumia vipi wakati hakuna tofauti maishani ya mtu kufanya tendo la ndoa mara 1000 na mtu mmoja au watu 10 kila mmoja unafanye nae mara 100?
sisi wanaume tukimpenda mwanamke kuna vitu huwa tunaangalia.. thamani ya mwanamke.. mwanamke anayegawa hovyo thamani na uzuri wake unapungua na mbaya zaidi mwanamke akitombwa na wanaume wengi hata ajitahidi vipi kujificha ukiwa makini unamjua tu kabla hata hujammega ndo unajikuta tena umeliwa na kuachwa ni bora ukawa wazi kwa mwanaume kuliko kujifanya akili nyingi
 
Back
Top Bottom