Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

I don't give a shit if it's your third language or fourth.
Hapo ulipo unaonekana tayari ushakua controlled. Maana povu Limekutoka kama lote yaani

Utabaki kuwa mwanamke tu.. hata usemaje..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata wewe chance ya kuoa ni ndogo, uko kwenye group zenye low opinion about women kwa muktadha huu huoi ng’o..
Duuh... acha kunisemea hivyo basi dada Rebecca, now here is a simple description about me...

I'm very caring and kinda hearted guy whose love to others is flawless,immeasurable,unquantifiable and priceless.

I'm very committed in my relationship and always i am ready to give huge sacrifice for mutual benefits

I'm always there to give my all through thick and thin and make sure our love never die.

I will always be there to push my boo to her God-given potentials and test the sweet experience of new life reserved for her.

I will always stand by her to maintain focus on her goals,ambitions,visions and make sure she materialize them perfectly.

I will be there to protect her and i won't use my masculinity to harass her physically.

I will always be willing to admit when i am wrong and face the truth and even to apologize.

I won't juxtapose my respect to her with her past sexual decency/indecency, she has already got it even before we meet.

I won't have a time to snoop on her phone and i won't mind to let her using mine any time she needs it.

I won't weaponize my money to make her uncomfortable, instead i will use that money to give the lavish lifestyle that will make her friends jealousy.

I will always be there to foot all the bills and i won't allow her to use her dim because i am very okay with this "your money is our money, but my money is my money" mentality.

I am very good looking guy with all gentleman characters and more important i am Good fearing son

In nutshell i'm every woman's dream man.

Sasa kweli dada Rebeca mwanaume kama mimi nakosaje mke jamani?? Eheee...[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sisi sasa tutaanza kuwakaanga na magunia ya mkaa
Ngomo droo inaitwa iyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Waache tu wajifanye kutunishiana misuli na sisi.
10318944_1013793910006347dikejpeg8ad852186885fed7cb9912a3c228dd0cjpeg9e6c05eb1df0ccb83acca50f...jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Danganya wenzio uwaharibie...ujue hiyo familia ya kifalme ina miiko na taratibu zao za Uingereza...Huyu dada wakiona ana kiherehere kilichozidi wataangalia kile kilichompata Princess Diana...option zote ziko mezani

Usiangalie hii issue kienyeji kienyeji kama ndoa zenu za Manzese kule Tandale...za Kuwekana kwenye chupa kumbe hamna kitu...
Mimi nadhani kinamfanya hasa wawili wajiondoe kwenye hii Royal family wala hata sio huyo dada bali ni Prince Harry mwenyewe jinsi familia inavyomchukulia.

Huyu jamaa tangu zamani tu hata kabla hajakutana na huyo mkewe alikuwa hapewi heshima kama wanayopewa wana wa mfalme wengine waliomtangulia, mfano mzuri ni huyu kaka yake Willium heshima anayopewa huwezi kuilinganisha na ya Harry.

Na hali hii ilimjenga kisaikolojia akaanza kutamani maisha ya mtu wa kawaida, na jamaa anafurahia zaidi akiitwa Harry wala sio Prince Harry.

Ndio maana hata mke hakuona shida yoyote kuchukua ambaye tayari ameshazalishwa tena nje ya nchi yake.

Kiufupi jamaa yuko against sana na ile familia hivyo kujitoa kwake sidhani kama ni sababu ni influence ya mwanamke, na kama kuna mtu watamuondoa basi ni Harry.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji847][emoji2960][emoji3526]
Karma tumepata wifi[emoji7]
Damn..!!! i am speechless now let my speachlessness precede that miraculous love..[emoji173][emoji173][emoji173] siongei kitu nisije nikaharibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Vile natembea baada kumaliza kusoma hii comment.[emoji1298]View attachment 1322480

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh... acha kunisemea hivyo basi dada Rebecca, now here is a simple description about me...

I'm very caring and kinda hearted guy whose love to others is flawless,immeasurable,unquantifiable and priceless.

I'm very committed in my relationship and always i am ready to give huge sacrifice for mutual benefits

I'm always there to give my all through thick and thin and make sure our love never die.

I will always be there to push my boo to her God-given potentials and test the sweet experience of new life reserved for her.

I will always stand by her to maintain focus on her goals,ambitions,visions and make sure she materialize them perfectly.

I will be there to protect her and i won't use my masculinity to harass her physically.

I will always be willing to admit when i am wrong and face the truth and even to apologize.

I won't juxtapose my respect to her with her past sexual decency/indecency, she has already got it even before we meet.

I won't have a time to snoop on her phone and i won't mind to let her using mine any time she needs it.

I won't weaponize my money to make her uncomfortable, instead i will use that money to give the lavish lifestyle that will make her friends jealousy.

I will always be there to foot all the bills and i won't allow her to use her dim because i am very okay with this "your money is our money, but my money is my money" mentality.

I am very good looking guy with all gentleman characters and more important i am Good fearing son

In nutshell i'm every woman's dream man.

Sasa kweli dada Rebeca mwanaume kama mimi nakosaje mke jamani?? Eheee...[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata dada Rebecca ana sifa nzuri tu ila ukaanza kumsema Kama hataolewa..
Una uhakika kwamba hataolewa?
Una uhakika wa kumuoa wapo wachache?
Unaijua mipango ya maisha yake? Kwanini kumnyoshea kidole?
Kumbe wewe ukinyoshewa unaogopa eeh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mwanaume wa kweli wa kiafrica utamfanyia mambo hayo, utageuzwa tambala la kufutia miguu, anafuta anaondoka mpaka zinaota Alama za miguu, huo ndio ukweli,
Kama mama wa africa wangekuwa wanafanya hivi, bila shaka usingemtambua nani baba yako,

Tatizo la Africa tunajidharau na tunaiga na kuchukua Kila kitu bila kujari, mradi Fulani kasema hasa akiwa (mzungu), sababu unamuona Bora kuliko wewe muafrica, bila kufikiria kiundani zaidi, huku ni zaidi ya kushikiwa akili,
hayo mambo utamfanyia mzungu tu, sio mwanaume wa kweli anayejielewa wa kiafrica,

Kila mtu atafanye anachotaka, ila asijaribu kuhamasisha wengine.
 
Back
Top Bottom