Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Wewe na sister sometimes huwa nawaona kama wachekeshaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe
9754035_image_jpeg9f360c5ab7736510df54c882e9dbf188.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hata dada Rebecca ana sifa nzuri tu ila ukaanza kumsema Kama hataolewa..
Una uhakika kwamba hataolewa?


Sent using Jamii Forums mobile app

No, sijasema hivyo kabisa kanisome tena, mimi ni nani kwanza mpaka nimsemee hivyo?

Am i the one who foredetermine her destiny??

Comment yangu imejikita zaidi kutokana na uchangiaji wake kwenye hii mada na sio vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muige Sana huyo mwenzio,jidai unampa sapoti.. yeye alishakaa huko anakujua vizuri na hatamani kurudi huko,

Sasa wewe jaribu kumkaanga mtu,utaenda kukipata Cha mtema kuni huko jela..utalia na kusaga meno,na ulivyokuwa kizuri zuri hivyo sijui watakufanyaje huko selo, mbona utakoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aseee!!! Kama haka kababu kameishi huko tangu ujanani mimi ntashindwaje.?
FB_IMG_1570379859309.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meghan atakuwa na shida. Sijui ndoa yake ya kwanza iliishaje, maana huwa haizungumziwi
 
"Mpelekeshe Mwanaume Unavyojisikia"! Dada! Dada! Dada! Dada! Usithubutu! Nakuonya tena Usithubutu! Never Dare, as you will be viewed as "a radio with a broken dial"!

Shida kubwa hasa kwa dada wenye mafanikio kidogo au makubwa, ni kufikiri kuwa utajiri huo ndiyo kila kitu! Kuwa unapata confidence na unafanya unachojisikia na blah blah nyingi! Lakini si hivyo, mafanikio yasichangie kuharibu misingi ya Mahusiano yako kijamii! Uanze kupelekesha wanaume! Utabaki peke yako, utakufa kwa msongo kwa sababu ya hitaji lako la kutaka kuitawala jamii kutokana na mafanikio yako!

Sikia!

Mtu mmoja alifikir kuwa pesa ni kila kitu lkn akaenda sehmu fulani hivi, ambayo pesa haikuwa medium of exchange, but kitu kwa kitu! Ilifikia sehemu ikabidi adilishe nguo alizovaa kwa chakula, na kugundua kuwa ni bora Uchi usubiri nguo kuliko njaa kusubiri chakula!

Maana yangu ni kwamba, ewe mdada ni Bora uwe mnyenyekevu(simaanishi kunyenyekea bali muungwana) kuliko kumpelekesha mwanaume ukijua kuwa elimu yako au mafanikio ndiyo yatakuwa suluhisho! Kuna siku elimu yako, mafanikio yako vitashindwa kuwa medium of exchange na kujilaumu kwa nn ulimpelekesha mwanaume.

Kaa chonjo! Badili Mtazamo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndugu huyo unavyomuona na majibu yake nani anayeweza kumuoa,Anavyoonekana kashafika 35+ lakini bado anajiona binti,yuko anadanganya wenzie wakati muda wake ushapita au usikute upo unabishana na single mother aliyejikatia tamaa,na hawa wa hivi ndo unakuta amezaa ovyo kila mtoto na baba yake .Anakuja Jf kutoa stress zake
 
Acha kuwalisha wenzio matango pori, ilo la kutupelekesha mnavyotaka halipo, zaidi zitazoumia ni sehem zenu za siri.utamzingua mwanaume utaenda kwa mwingine, utaona anakuzingua utaenda kwa wingine tena utaona anakuzingua utaenda kwa mwanamke mwenzako mwisho unakuwa kama choo cha umma tu. labda ungesema tuheshimiane tu.
Namwangalia tuu akili ake naona bdo hajaolewa anasubili upepo wa kisulisuli[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii century nyingine mtapiga deki na kupika no time
Wenzenu huko china huwa wanakusanyika kujifariji kwenye masinema na kununua madildo baada ya kukuta hawapati hata hao wa kuwapelekesha wanaugulia upweke na pesa zao..Haita kuja tokea mwanamke kumpelekesha mwanaume unless awe boya no matter what
By the way kwani tunaoa ili mtupigie deki? Ishu ni kuzaa na kupigwa miti na uzuri huwa haturidhiki ukichoka sepa
 
Wenzenu huko china huwa wanakusanyika kujifariji kwenye masinema na kununua madildo baada ya kukuta hawapati hata hao wa kuwapelekesha wanaugulia upweke na pesa zao..Haita kuja tokea mwanamke kumpelekesha mwanaume unless awe boya no matter what
By the way kwani tunaoa ili mtupigie deki? Ishu ni kuzaa na kupigwa miti na uzuri huwa haturidhiki ukichoka sepa
aiseee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom