Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Kwani Kama ana 37 SI Ni ya kwake!?Ndugu huyo unavyomuona na majibu yake nani anayeweza kumuoa,Anavyoonekana kashafika 35+ lakini bado anajiona binti,yuko anadanganya wenzie wakati muda wake ushapita au usikute upo unabishana na single mother aliyejikatia tamaa,na hawa wa hivi ndo unakuta amezaa ovyo kila mtoto na baba yake .Anakuja Jf kutoa stress zake
Hivi Mbona mhusika katulia ila wengine huwa ndo wa kwanza kuumia!?
Sent using Jamii Forums mobile app