Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,942
Huyo umemuokota ,ingekuwa mimi ungeshanyenyua mikono juu hutaki sepa ,namshukuru Mungu hakuniumba kupenda kwa ujinga wala kuwa mtumwa wa k japo wapo wenzangu wengi nawaona wako hivyo na wanashindwa wafanyaje wananishangaza sanaMimi I run the show mume wangu akifanya mchezo amekwisha .Pesa zake zetu zangu zakwangu peke yangu
Dharau inatokana na mwanaume mwenyewe anavyokiweka..
Kama ulikuwepo vile. Bandika bandua na mapenzi motomoto.dawa yenu ni mimba tu si kingine, uki pop out unaongezewa nyingine
Hakuna mtu anakukataza usisome hata mm binti yangu namhimiza kusoma,ishu ni kwamba ukiitumia elimu yako kama silaha utafeli vibaya na bahati mbaya wanaume wengi hawaoi wanawake wenye vipato kuwazidi au kukaribia so lazima ujiandae kwa left overs.Wanaume wa JF bwana,,,
Eti amesema ukweli mtoa mada wanawake tusome na tupate ajira,,, wanajidai kuruka kimanga, sijui kwa nini mtu aki mention elimu na ajira kwa wanawake kuna watu Ego zao zinakua hurt?????? Mnavyoshangaza sasa nenda kule jukwaa la Love Connect WANAUME WOTE wanataka mwanamke aliye na Kisomo na ambae ana shughuli ya kumuingizia kipato! Hamjielewi 😂😢😢😢😥😥😥😊
wala kuhojiwa yeye aweke bili tu mezani full stop,unahoja unajua zinakopatikana?Mimi nachojua mwanaume ndio anasimamia shoo ya kipato cha nyumba. Labda mwanamke aamue kumsaidia mume. Ila jukumu hilo ni letu na hatupaswi saidiwa
endelea kuotaDharau inatokana na mwanaume mwenyewe anavyokiweka..
BTW,wote mnaoshabikia watu kuchomwa Wala hamna ubavu huo wa kuchoma mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu uone,kuna wengine tumechachinjiwa na nikijua tuu unajaribu kunifanyia huo ujinga nitakupa pigo Moja takatifu hutanisahau maisha yako yote.Akileta ujuaji unamtengeneza. Hawa bila kutiwa kwenye chupa hawaelewi.View attachment 1320221
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu Kama unatamani si ukaange mtu na wewe, halafu uone kinachokupata
Sometimes mume wako have to play the role of a fool to fool the fool (wewe) who thinks she's fooling himMimi I run the show mume wangu akifanya mchezo amekwisha .Pesa zake zetu zangu zakwangu peke yangu
Akileta ujuaji unamtengeneza. Hawa bila kutiwa kwenye chupa hawaelewi.View attachment 1320221
Sent using Jamii Forums mobile app
bado hajatokea mwenye kimdomo,na hakuna mwanamke atakayethubutu kuniletea kimdomo maana wananijua ni kipondo tu,bila makofi huwa hamuendi nyinyiSasa mkuu Kama unatamani si ukaange mtu na wewe, halafu uone kinachokupata
Sent using Jamii Forums mobile app
Chupi utachojowa mwenyewe, na mapaja utayatanua mwenyewe, na utalisikilizia dushe likiingia taratibu kwa raha zote.Dawa yenu kubaniwa tu tuone hizo mimba atabeba nani,
Kama ni kukomoa jibebeshe uone raha ya u single baba[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hapo ulipo mpaka sasa hujaolewa unakitembeza tu kimebaki na mashavu kama masikio ya Bibi zangu wakurya...wasted sperm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuwalisha wenzio matango pori, ilo la kutupelekesha mnavyotaka halipo, zaidi zitazoumia ni sehem zenu za siri.utamzingua mwanaume utaenda kwa mwingine, utaona anakuzingua utaenda kwa wingine tena utaona anakuzingua utaenda kwa mwanamke mwenzako mwisho unakuwa kama choo cha umma tu. labda ungesema tuheshimiane tu.
Mungu wa Ibrahim, isaka na yakobo akapatenda kama unavyotamani. Amen
Kupata mimba ni kitu ambacho tunajivunia sana, ukipita na tumbo lako mwenyewe mtaani wanasema hiyu ndo mwanamke sasa! Haijawahi kuwa adhabu loh!Tia mimba mbili tatu za chap chap kwisha habar
Na zinasaidia kuwatuliza nakuwakata kimdomodomoKupata mimba ni kitu ambacho tunajivunia sana, ukipita na tumbo lako mwenyewe mtaani wanasema hiyu ndo mwanamke sasa! Haijawahi kuwa adhabu loh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mnajua hakuna wenye midomo.bado hajatokea mwenye kimdomo,na hakuna mwanamke atakayethubutu kuniletea kimdomo maana wananijua ni kipondo tu,bila makofi huwa hamuendi nyinyi
Sent using Jamii Forums mobile app