Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,394
Hahah nyie huruma mnayo? Mwanaume sio mtu wa kumuonea huruma. Atamzalisha mwanamke amuache, atamuoa amnyanyase. Ata date nae kumchezea tu.
Duuh we mwanamke mbaya sana [emoji3]
Hivi ulishawahi kuwafunga wangapi mpaka sasa na hilo limbwata lako la chupa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah nyie huruma mnayo? Mwanaume sio mtu wa kumuonea huruma. Atamzalisha mwanamke amuache, atamuoa amnyanyase. Ata date nae kumchezea tu.
Yani dada zangu kaa mkijua kama huyo bwana ako hutamtengeneza utakua unaachwa kila siku mpaka utajihisi una gundu.
Sent using Jamii Forums mobile app
let me tell you something no matter how do you think youre educated or what kind money you do have you will always going to being somebody wife, bitch, side chick and dicked for all your life
mbina kama povu mkuu nimejibu kutokana na mada mleta mada anasema wanawake siku hiiz wana pesa na wanasoma na huku vitu hivyo havina uhusoano wowote na kuwa na maamuzi ya ndoa mwisho wake utaolewa tuu acha hiko kipele chako kitulize mkuu na hizo nyege mshndoSasa kwani kazi ya mwanamke ni nini? Au unataka tubadilishane majukumu. Mwanamke kama amesoma maanake anatakiwa asipate dudu? kupigwa dudu ni matusi au starehe? Acha mambo yako ya kifala mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
mbon
mbina kama povu mkuu nimejibu kutokana na mada mleta mada anasema wanawake siku hiiz wana pesa na wanasoma na huku vitu hivyo havina uhusoano wowote na kuwa na maamuzi ya ndoa mwisho wake utaolewa tuu acha hiko kipele chako kitulize mkuu na hizo nyege mshndo
Endapo kama ungenipata kwa usahihi hiki kipande hata usiingeandika hii comment.Hata hujielewi lol
Hapo hapo unasema kila mtu ana mtu wake then unasema kuolewa ni chance ndogo... sorry if I hit you hard lol unachechemea [emoji23][emoji106][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji4][emoji4][emoji4][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Noma sana.Hahah nyie huruma mnayo? Mwanaume sio mtu wa kumuonea huruma. Atamzalisha mwanamke amuache, atamuoa amnyanyase. Ata date nae kumchezea tu.
Yani dada zangu kaa mkijua kama huyo bwana ako hutamtengeneza utakua unaachwa kila siku mpaka utajihisi una gundu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah nyie huruma mnayo? Mwanaume sio mtu wa kumuonea huruma. Atamzalisha mwanamke amuache, atamuoa amnyanyase. Ata date nae kumchezea tu.
Yani dada zangu kaa mkijua kama huyo bwana ako hutamtengeneza utakua unaachwa kila siku mpaka utajihisi una gundu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo wewe unafurahia mwanamke mwenzio kutulisha uchafu kutuweka kwenye chupa tuwe mazumbukuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Endapo kama ungenipata kwa usahihi hiki kipande hata usiingeandika hii comment.
"Kila mtu ana group lake la watu anao endana nao, sema tu utofauti unakuja je, hilo group lako uwingi/uchache wa wanawake/wanaume upo kiasi gani.
Kimsingi tu hapo nilimaanisha chance yako ya kuolewa inategemeana sana na aina ya wanaume wanaoendana na wewe wapo wengi/wachache kiasi.
Kama wewe uko too masculine chansi yako ya kuolewa ni ndogo mno sababu ni wanaume wachache sana wanaoweza kuishi na mwanamke wa hivyo kama mke na kinyume cha hapa ni sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata wewe chance ya kuoa ni ndogo, uko kwenye group zenye low opinion about women kwa muktadha huu huoi ng’o..
Kama hamuelewi afanyaje sasa!?Kwahyo wewe unafurahia mwanamke mwenzio kutulisha uchafu kutuweka kwenye chupa tuwe mazumbukuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hamuelewi afanyaje sasa!?
Wanaume huwa mnapelekea mabinti wa watu kuwa na roho za kikatili namna hiyo..
Kama mngekuwa watulivu tu sidhani Kama yote hayo yangetokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaanga uone unavyoozea jela.Na sisi sasa tutaanza kuwakaanga na magunia ya mkaa
Ngomo droo inaitwa iyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii century nyingine mtapiga deki na kupika no time
😂😂😂
Hakuna wanawake wanaojiona wamefanikiwa maisha kama wanaovaa vindala vya manyoya na makava ya simu yenye maskio
Kama huyu mtoa mada alochafua atmosphere