Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Kwani Kama ana 37 SI Ni ya kwake!?Ndugu huyo unavyomuona na majibu yake nani anayeweza kumuoa,Anavyoonekana kashafika 35+ lakini bado anajiona binti,yuko anadanganya wenzie wakati muda wake ushapita au usikute upo unabishana na single mother aliyejikatia tamaa,na hawa wa hivi ndo unakuta amezaa ovyo kila mtoto na baba yake .Anakuja Jf kutoa stress zake
Kazi kweli kweliAcha kuwalisha wenzio matango pori, ilo la kutupelekesha mnavyotaka halipo, zaidi zitazoumia ni sehem zenu za siri.utamzingua mwanaume utaenda kwa mwingine, utaona anakuzingua utaenda kwa wingine tena utaona anakuzingua utaenda kwa mwanamke mwenzako mwisho unakuwa kama choo cha umma tu. labda ungesema tuheshimiane tu.
HahahaHakuna wanawake wanaojiona wamefanikiwa maisha kama wanaovaa vindala vya manyoya na makava ya simu yenye maskio
Kama huyu mtoa mada alochafua atmosphere
Hahaha aisee[emoji23][emoji23][emoji23] eti anakwambia ukojolee nje akat nyumba ni self,,,
The great hayawani
KiruuuuHalafu hapo ulipo mpaka sasa hujaolewa unakitembeza tu kimebaki na mashavu kama masikio ya Bibi zangu wakurya...wasted sperm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimba haijawahi mtuliza mwanamke, mnajifariji tu kama ni wa kugawa atagawaKweli kabisa unachosema Na zinasaidia kuwatuliza nakuwakata kimdomodomo
wapo ila wanazidiana tuKumbe mnajua hakuna wenye midomo.
Mbona kutwa kujihami na hizo gunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii century nyingine mtapiga deki na kupika no time
π π π mbojo umezijulia wap mzeeLabda mbojo, nikiwa timamu, afya tele, niko vizuri kiuchumi...hayo unayoyasema thubutu yako.
Ukizingua nachukua mwingine, akizingua nabaki na mechi za kirafiki.
Utampelekesha maakini na mvivu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28] mbojo umezijulia wap mzee
ππππ watakua wanyaturu tu haoKuna wajinga flani wa kanda ya kati ya nchi, sayansi yao ni kutengeneza mbojo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa maana... Hapa nazungumzia zile fujo Fujo na mbwembwe mbwembwe nakarahakaraha anazokua nazo mwanamke akiwa hajabebeshwa mimba...Mimba haijawahi mtuliza mwanamke, mnajifariji tu kama ni wa kugawa atagawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Kama ana 37 SI Ni ya kwake!?
Hivi Mbona mhusika katulia ila wengine huwa ndo wa kwanza kuumia!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani humu si kila mtu anaandika anachokitaka,kwanini kumpangia?Ndo hatulie sasa aache kuandika ujinga ujinga kwenye mitandao,wakati wake ushapita.Asiharibu wengine na stress zake,kama yalimkuta ni abebe mzigo wake
Thats stupidity!
Ukishafanya hvyo unamkomoa nani sasa
Ndoa ni maelewano na kusikilizana, kama hayo hayapo achia ngazi tafuta ustaarabu mwingine hakuna haja ya kuumizana kihisia au kukomoana.