Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

umeolewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa umemzungumzia Meghan ni sawa ila sidhani kama atafikia lengo lake kama anataka kuwa maarufu zaidi ya Her Majesty The Queen of England, ila kama pilika zao/zake zina malengo mengi mengine sawa, amini pia nakwambia baada ya hili utamsikia kwa nadra sana kama si kwa kuzitafuta habari zake
 
Kwahiyo sehem zako huwa haziumii zinaumia za mwanamke tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mweeeeh!! We huna remote controll ina unataka kumcontroll mwenzio [emoji134][emoji134][emoji134]

Okey, kila la kheri.
 
Mimi I run the show mume wangu akifanya mchezo amekwisha .Pesa zake zetu zangu zakwangu peke yangu
Usije ukawa umeolewa na zombie!! Manake, kwa mwanaume wa kawaida kabisa hayo maneno yako hapo juu tu, yangetosha kuvunja ndoa yenyewe !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke utabaki kuwa mwanamke tu kwangu.. hata uote mapembe..

Kuni control type ya mtu kama mm [emoji16], ni ndoto za arinacha.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata kuandika shida nani ahangaike na gume gume kama wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eti "Arinacha" hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana hujaolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…