Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
Hata kuandika shida nani ahangaike na gume gume kama wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eti "Arinacha" hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa stress au hongera kwa vihela vilivyokutembelea.Hii century nyingine mtapiga deki na kupika no time
Niwekee mm uone Kama hutakuwa unakuja mwenyew kwangu wengne hawarogeki yaan walizikwa kitamboAkileta ujuaji unamtengeneza. Hawa bila kutiwa kwenye chupa hawaelewi.View attachment 1320221
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe bado unafikra za ki century sasa we Baki huko huko si tunatembea ki milenium hatuko na fikra za pundaHii century nyingine mtapiga deki na kupika no time
Ukifikisha miaka 30 na huna hata wa kukufanya mchepuko utakuja kufuta huu UPUUZI hapa.Mambo ya kupiga magoti kwa wakwe yashapitwa na wakati.
Wanawake siku hizi wamesoma na wana mishahara yao. Wanaume muanze kujipanga
View attachment 1320201
Mkuu umeolewa?Kusoma na kuajiriwa kunamfanya mwanamke awe na confidence, the problem is hampendi challenges..,, na challenges zinakuja baada kisomo...hakuna kupelekeshwa hapo,, ni mume ku accept mawazo ya mwanamke na kuona yanafaa kwa familia yao,,, mie nime understand some of you this is completely new mmezoea nafasi ya mwanamke ni jikoni peke yake,,, now kwa nini hamtafuti wanawake ambao ni CHEFS??,,wapishi wa mabiriani, pilau etc badala yake mnaangalia elimu na ajira??bro, anza kuangalia vitu with an open mind,,,
Hivi inakuaje mwanaume uliye kamilika, unaendeshwa na kutawaliwa na kiumbe mwanamke???
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wapo wengi sana!
Wengine wametawaliwa na wake zao kiasi cha kufikia hadi kuwatelekeza wazazi wao na ndugu zao [emoji108][emoji108]
Kuna wanaume wazazi wao hawajawahi kukanyaga majumbani mwao [emoji108][emoji108]
Kila mzazi akitaka kuja mwanamke anatoa visingizio ,
Na akilazimisha kuja mke anaanza kumtia ila mzazi wa mumewe mara ooh leo watoto hawajalala, mara sijalala vizuri , mara hivi mara vile !
Mzazi hatakaa hapo kwa mwanae wa kiume nakwambia ataondoka tu siku si nyingi kwa chuki na choyo cha mkamwana wake [emoji108][emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe ile familia naijua si majirani zetuSiku akimiliki ule mjengo wa Buckingham ndiyo ntaamini kampelekesha,tena Meghan asipojichunga atarestishwa in peace ile family hainaga muchezomuchezo.