Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

WACHA WEEE........ Ila mwisho wa siku ukija kugundua wenzako walikuwa wanahesabu nazi,ila wewe ulikuwa unahesabu makuti.

Ndio unajikuta ushachelewa unabaki na zile kauli zenu "wanaume wote washenzi,my son/daughter my everything".
 
Mambo ya kupiga magoti kwa wakwe yashapitwa na wakati.

Wanawake siku hizi wamesoma na wana mishahara yao. Wanaume muanze kujipanga

View attachment 1320201
Japo hii mada unaweza ukawa umeileta kimzaa mzaa na watu wakakuchukulia poa wakikuona unafurahisha genge, lakini huu ndio uhalisia tunauona huku mitaani.

Wanawake siku hizi wamesoma na wana mishahara yao. Wanaume muanze kujipanga

Hii kauli ina maneno machache tu lakini imebeba maana nzito sana ambayo inajionesha kupitia matendo ya wanawake wengi wa kileo.

Wanawake wa kileo wanasoma hili kuja kupambana na mwanaume na wala sio kusolve matatizo yanayoizunguka jamii yake, utafikiri labda mwanaume ndio chanzo cha matatizo yote yanayomkumba mwanamke.

Mwanamke hakishakuwa na formal education akapata na uhakika wa mshahara anamuangalia mwanaume kama mshindani na sio mwenza tena.

Ni kawaida sana kwa mwanamke msomi kuona karibu kila kitu cha kimila hususani kinachomuhusu mwanamke ni cha kizamani kwamba kimepitwa na wakati, ndio maana tunaskia mtu anasema hawezi kumpigia hata mkwe wake magoti.

Ni kawaida sana kwa mwanamke msomi kuona ni kama anadharauliwa pale anapotoa mawazo yake halafu mume akayapinga, na katika hali kama hii atazua tafrani mpaka mume ata surrender mwenyewe hili tu kulinda ego yake.

Wanawake waliosoma wanapenda sana kujiona wao ndio vichwa wa familia lakini cha ajabu linapokuja suala la uwajibikaji utaskia wanakwambia "hela yangu ni ya kwangu, hela yako ni ya kwetu wote"

Wanawake waliosoma pamoja na kupenda kwao ku control ndoa/mahusiano yao lakini bado huwa wana feli halafu wanaishia kumlaumu mwanaume tu kwamba ameshindwa kusimama kwenye nafasi yake vizuri.

Kuna hasara nyingi sana za kuwa na mwanamke msomi kuliko faida. Kimsingi mwanamke msomi ni liability

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke aliyesoma na ana mshahara hawezi kuona hoja ya mwenzake kama ni hoja na badala yake hoja zake ndio anaziona ni hoja, ukimbishia sana ni ugomvi tu na visirani vitatawala humo ndani maana ataona ni kama una mdharau na una mfumo dume tu umekutawala.

Ngumu sana kwenda kinyume na matakwa ya mwanamke tajwa kwenye hii mada na bado ukawa na mahusiano ya kudumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechelewa kujua ndugu.

Wanawake hususani hawa wa huku kwetu Afrika wana dhamira yao ya kushangaza iliyowapeleka shule, kiufupi wengi wao hawajaenda kuelimika bali walienda kutafuta silaha ya kupambana na wanaoita wao mfumo dume. Kwa lugha nyingine tunasema hili mwanaume hasiwababaishe.

Soma tafuta kazi mwanaume hawezi kukupanda kichwani na badala yake Wewe Ndio utamtawala>>>>> haya ndio maneno wanayoambizana siku hizi, ndio maana wengi wao ni big failures kwenye social life

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri wa mwanamke kuringa ni miaka 18-27 akizidi hapo utaona anavyohaha na kuishi kwa stress kisa hana ndoa au ishavunjika
 
Lucas philipo,

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]Swadakta mkuu, elimu na hizo mali sijui pesa kwa dunia ya sasa hivi havina nafasi tena maana ni vitu common sana.

Hakuna kitu chenye thamani kubwa na kinachokupa heshima kama familia, huwezi ukaenda mbele za watu halafu ukajimwambafy kwa kusema "mimi nimesoma na nina miliki sheli tano za mafuta lakini sina familia"

Inaleta hadhi na confidence ya hali ya juu pale unaposimama mbele za watu na kuonesha familia yako.

Sasa hawa wanawake aliowaelezea mleta mada kwenye suala la kutengeneza familia wamefeli vibaya mno, badala yake wamebaki kujivunia elimu na mafanikio ya kazi zao tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimba ya kazi gani unamwolea bi mdogo anayejua kipiga magoti, anayejua kumdekeza mume. A man is a king of his own family lazima awe treated like a king and not any other way la sivyo utaonekana mshenzi flani tu hivi anarudi kwako kulala jion keshapewa kila kitu mtaani
dawa yenu ni mimba tu si kingine, uki pop out unaongezewa nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi inakuaje mwanaume uliye kamilika, unaendeshwa na kutawaliwa na kiumbe mwanamke???




Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbona wapo wengi sana mzee, na halafu wengi wao ni wale waliotanguliza elimu na kazi kama vipaumbele vyao wakati watafuta mke.

Kuna washikaji zangu nikikaaga nao kijiweni ukisikiliza wanavyowaongelea wake zao mpaka wanatia huruma, unakuta unamwambia mtu twende Mbeya kukae hata wiki tunaangalia fursa za biashara unashangaa anakujibu "subiri nimuulize wife kama atakubali"... mpaka mtu unajiuliza huyu kaoa au kaolewa.

Nilichokiona mimi hawa wanawake much knowing wana hiyo tabia sana na hasa wakikutana na wanaume wastaarabu wasiopenda malumbano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…