Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
Mbona wapo wengi sana mzee, na halafu wengi wao ni wale waliotanguliza elimu na kazi kama vipaumbele vyao wakati watafuta mke.
Kuna washikaji zangu nikikaaga nao kijiweni ukisikiliza wanavyowaongelea wake zao mpaka wanatia huruma, unakuta unamwambia mtu twende Mbeya kukae hata wiki tunaangalia fursa za biashara unashangaa anakujibu "subiri nimuulize wife kama atakubali"... mpaka mtu unajiuliza huyu kaoa au kaolewa.
Nilichokiona mimi hawa wanawake much knowing wana hiyo tabia sana na hasa wakikutana na wanaume wastaarabu wasiopenda malumbano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duhh wasalimie waambie naomba kazi ya udereva.Mwenyewe ile familia naijua si majirani zetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akileta ujuaji unamtengeneza. Hawa bila kutiwa kwenye chupa hawaelewi.View attachment 1320221
Sent using Jamii Forums mobile app
sikuwa na maana hiyo, nilikuwa na maana kwamba ataenda kwa huyu ataona hana sifa anazohitaji wataachana, ataenda kwa mwengine nae atakuta ana tabia zake wataachana atatafuta mwingine na mwingine na hawezi mpata mwanaume mpumbavu kiasi hicho anachotaka yeye zaidi atakutana na wanaume wengi na watamtumia watamwacha sababu yeye anajifanya kishaota mapu*bu, mwanamke wa dizain hii lazma akutane na mwanaume mpigaji..yaan kabla hajaanza upuuzi wake wa kumwambia mwanaume apige deki atakula kitasa cha maana hapo sasa atatafuta mwanamke mwenzie, kuhusu sehemu za siri kuumia sio suala la kifichana mwanamke anayeingiliwa na kila ududu sehem zake lazma zichoke na zinuke, samahan kwa nitakaowakwaza kwa hili lakini ndio ukweli wenyewe
WACHA WEEE........ Ila mwisho wa siku ukija kugundua wenzako walikuwa wanahesabu nazi,ila wewe ulikuwa unahesabu makuti.
Ndio unajikuta ushachelewa unabaki na zile kauli zenu "wanaume wote washenzi,my son/daughter my everything".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na nikihesabu nazi sijui vitunguu wewe inakuhusu nini??? Muda wote uliokaa JF bado una arguments za kitoto?
Sawa Dada.Na nikihesabu nazi sijui vitunguu wewe inakuhusu nini??? Muda wote uliokaa JF bado una arguments za kitoto?
Akileta ujuaji unamtengeneza. Hawa bila kutiwa kwenye chupa hawaelewi.View attachment 1320221
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kupiga magoti kwa wakwe yashapitwa na wakati.
Wanawake siku hizi wamesoma na wana mishahara yao. Wanaume muanze kujipanga
View attachment 1320201
The real traditional african wife...mdogo wangu, naomba uelewe kwamba kila ndoa ina makubaliano kati ya wawili, na ukiona wana ndoa wameamua kufanya jambo jua kwamba wameridhia kwa pamoja
Pili, kila mwanamke ana malezi yake,kun amwingin ambae amekulia kwenye mazingira ambayo mzazi wake wa kike alikua anampelekesha baba yake kama mbuzi, obvious atakua nwanamke wa character sawa na ya mama yake kwa silimia kubwa au kama hakupendezwa kitendo cha maa basi atakua mke mwema
Tatu, sisi Waafrika tuna mila na tamaduni zetu kwa hiyo unapojitoa ufahamu kuiga maisha ya wenzetu nakuona kama una walakini flani hivi,
Nne, kama kwenye ndoa yako unaishi kwa kumpelekesha mumeo usitake kila mmoja aige maisha yako, mwache kila mwanamke aishi kulingana na makubaliano yaliyopo ndani ya ndoa yake na maadili aliyo nayo.
Wengine tulifunzwa kumuheshimu mume na tumekua tukiishi namna hiyo na waume zetu na ndoa zinadunda wala hatupungukiwi jambo
In return unapomuheshimu mume nae atakuheshimu na kukupenda, wanaume hawapendi kupandwa kichwani,wanapenda kuheshimiwa na hata unapoona jambo haukubaliani nae tafuta njia ya kumwambia pasipo kumvunjia heshima yake kama mume
Mwisho, ukitaka kuishi maisha ya furaha, acha tabia ya kuiga na kutamani mambo ambayo yapo nje ya uwezo wako. Fanya kazi kwa bidii na uwe na nidhamu ya pesa na malengo, hapo hata hayo maisha ya royal family huwezi kuyatamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo bi dada mimi nilishampigia mahesabu kitambo sana, siku jamaa yake akizingua tu mimi na mdaka haraka sana.The real traditional african wife...
Ukiskia ndoa imebuma kwa type ya mwanamke kama ww ama kwa hakika makosa yatakua upande wa pili na si kwa mtu mwenye haiba kama yko.. Hongera sana kama kweli unayaishi uloyatamka hapo..
Asante tena.
[emoji1303][emoji1303]mdogo wangu, naomba uelewe kwamba kila ndoa ina makubaliano kati ya wawili, na ukiona wana ndoa wameamua kufanya jambo jua kwamba wameridhia kwa pamoja
Pili, kila mwanamke ana malezi yake,kun amwingin ambae amekulia kwenye mazingira ambayo mzazi wake wa kike alikua anampelekesha baba yake kama mbuzi, obvious atakua nwanamke wa character sawa na ya mama yake kwa silimia kubwa au kama hakupendezwa kitendo cha maa basi atakua mke mwema
Tatu, sisi Waafrika tuna mila na tamaduni zetu kwa hiyo unapojitoa ufahamu kuiga maisha ya wenzetu nakuona kama una walakini flani hivi,
Nne, kama kwenye ndoa yako unaishi kwa kumpelekesha mumeo usitake kila mmoja aige maisha yako, mwache kila mwanamke aishi kulingana na makubaliano yaliyopo ndani ya ndoa yake na maadili aliyo nayo.
Wengine tulifunzwa kumuheshimu mume na tumekua tukiishi namna hiyo na waume zetu na ndoa zinadunda wala hatupungukiwi jambo
In return unapomuheshimu mume nae atakuheshimu na kukupenda, wanaume hawapendi kupandwa kichwani,wanapenda kuheshimiwa na hata unapoona jambo haukubaliani nae tafuta njia ya kumwambia pasipo kumvunjia heshima yake kama mume
Mwisho, ukitaka kuishi maisha ya furaha, acha tabia ya kuiga na kutamani mambo ambayo yapo nje ya uwezo wako. Fanya kazi kwa bidii na uwe na nidhamu ya pesa na malengo, hapo hata hayo maisha ya royal family huwezi kuyatamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe sijaingia huko bado, na uzuri mpaka sasa hivi nilishafahamu wanawake wa dizaini hiyo wanapatikana kundi gani hasa, hivyo itakuwa ni rahisi sana kuwaepuka.Hahah nimecheka sana, eti mbaka amuulize mke wake kama atakubali..
Kiukweli, mimi bado sijaoa, ila hiyo spirit sina kabisa, huwa najiona kwa madem zangu ninao date nao, najiona kabisa mm sio wa namna hiyo. Atakama mwanamke awe vipi..
Ila kwenye facts sawa, nitakuwa nae pamoja.. ila swala lakuwa inferior namna hiyo, siwezi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
tunawaambia wasioe hawataki kusikia watajaza wenyeweMimi mwenyewe sijaingia huko bado, na uzuri mpaka sasa hivi nilishafahamu wanawake wa dizaini hiyo wanapatikana kundi gani hasa, hivyo itakuwa ni rahisi sana kuwaepuka.
Hilo mbona dogo, Mzee baba, kuna wanaume wanapitia mazito sana kwenye ndoa zao acha tu, jaribu kukaa na mabro wenye wa mid-thirties mpaka early forties hapo upige nao stori zinazohusu ndoa utabaki mdomo wazi.
Utakuta sometimes unamuuliza mtu "bro ulisema utachukua kile kiwanja lakini mbona ukahairisha, sasa hivi naona kuna mtu mwingine ameshakichukua na ameanza kujenga" utaskia limtu linakujibu "shemeji yako alikataa alisema kiko sehemu mbaya, ametafuta kingine huko sijui wapi"
"Bro vipi mbona siku hizi unapiga moja moja gari yako iko wapi umeuza au?" Mtu anakujibu "sasa hivi anaitumia shemeji yako," ....unamuuliza tena "lakini na yeye si ana gari yake tena nzuri zaidi?" ....Anakujibu "imeharibika na ameitelekeza tu uwani".. kwa hiyo hataki kuitengeneza? Mtu kwa unyonge anakwambia "yule mwanamke mbishi sana halafu ana kisirani ni wa kumuacha tu"
Kuna watu wakiingia ndani ya nyumba zao walizojenga wao wenyewe kwa jasho lao wanahisi kama vile wameingia lock up, furaha yao ni pale wanapokuwa nje ya miji yao.
Sent using Jamii Forums mobile app