Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Kuna mdada tunafanya nae kazi, nimezoeana nae kawaida, sio mshkaji wangu sana, ila sasa huwaga anapenda sana kuvaa mavazi ambayo yanaonesha maumbile yake.
Huyu dada kaumbika plus mavazi anayovaa, aisee nadhani mnaelewa ninachomaanisha.
Kuna muda unakuta anajisahau anakaa vibaya, sometimes hadi matako yanaonekana, sometimes anakaa anapanua miguu anatuonesha mapaja na mchupi wake.
Sasa mi nikiona vile huwaga namwonea huruma maana nahisi maybe kajisahau na ukizingatia ni mwanamke mi naonaga sio sawa, kwahiyo mi huwaga namfwataga nam-nong'oneza kisirisiri "Oyaa kaa vizuri mambo yako yanaonekana", sasa cha kushangaa nikimwambiaga akae vizuri huwaga ananuna sura yake inabadilika kabisa, ananinua siku nzima, na mood yake inabadilika kabisa, kama alikuwa anachekacheka basi atapunguza.
Sasa leo tena alikuwa amekaa zake kama kawaida kavaa kishati chake kifupi ambacho akikaa portion ya chini ya mgongo lazima iwe exposed, matako huku nyuma kayaacha mwaaah mstari wa matako unaonekana yaan hadi jau, mimi nikamfata kiroho safi tu nikavuta shati kwa chini huku namwambia kipolepole "kaa vizuri unaonekana" ili watu wasisikie, akasema "Sawa" ila baada ya hapo sura yake ikabadilika kabisa akawa hana furaha, akapunguza kuongea, siku ya leo nzima imekuwa hivo.
Okay sasa nawaza maybe namuharibia mishe zake, maana sidhani kama ni coincidence kila mara nikimshauri akae vizuri anakasirika.