Wanawake mkipata wapenzi wapya punguzeni "show off" kwenye "status za WhatsApp"

Kwanza Kwa nn umiliki namba ya ex? Mimi hua Niko agressive sanaπŸ˜€ yaani tukiachana imeisha hio sitaki hata mawasiliano
 
Ni wachache wanaweza vumilia mambo za kupigiwa live wakishuhudia.
Huna budi Kelsea kuna mda ni kukubaliana tu na uhalisia mambo mengine yaendelee, ukisema unaumia utajitesa bure. Lilishanikuta jambo nilivyopita hilo sijawai kupata maumivu tena nachoamini ni kuwa mtu mzima akiamua jambo lake hata umlinde atalitekeleza tu.
 
Mbona unawekewa mchezo wa kitoto na wewe unaingia mazima?

Kwani wakati mko vzr aliwahi kukuposti kwenye status yake?
 
[emoji106][emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…