Wanawake mkitaka kushindana na wanaume zenu, shindana nae kweny kila sekta

Wanawake mkitaka kushindana na wanaume zenu, shindana nae kweny kila sekta

Satirical Yet Awesome

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2023
Posts
727
Reaction score
1,856
Eti niki cheat na yeye analipiza ana cheat na mwanaume mwingine.

Sasa najiuliza kama yeye ni jemedari wa kulipiza visasi, mbona nikilipa bills za nyumbani halipizi? Na yeye akawa analipa bills.

Mbona nikilipa ada za watoto halipizi? Nayeye akalipa ada za watoto.

Mbona nikifungua biashara kwa ajili familia halipizi na yeye akafungua ya kwake.

Mbona nikikata Bima yake na ya watoto kwann halipizi, na yeye akanilipia ya kwangu??

Mbona nikinunua chakula cha familia halipizi?

Wanawake wanajua kulipiza visasi kweny mambo madogo-madogo tu, kweny mambo ya muhimu wanajikausha, kama unapenda kushindana na mwanaume shidana nae kila sehemu, sio mambo mengine unajikausha.


(Hahah Jokes)
 
Back
Top Bottom