Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 727
- 1,856
Huyo alikuwa siyo golikipa bila shakaUsiombe mimi x wife wangu alishindana kwa kila kitu , ila mwisho wa siku ikabidi nipige chini tu🤔
Yah hakuwa hivyoHuyo alikuwa siyo golikipa bila shaka
Safi sana ,upo kama mimiSishindan na mwanaume mim et aki cheat na mim ni cheat upuuzi yanin kuumiza kichwa piga chini naangalia yajayo
Wanaume mmejaa nianze kuumiza kichwa Kwa kaptula mmoja aisee sivumilii ujingaSafi sana ,upo kama mimi
Ila kuna kichwa kibovu kama mimi tu ukikutana nae lazima uvumilie😁Wanaume mmejaa nianze kuumiza kichwa Kwa kaptula mmoja aisee sivumilii ujinga
U cheat nikuvumilie🙆😳 ndo maana mnakimbilia watoto wa 2000 kuvidanganya tu vimelegea sisi vichwa vyetu vimekomaa😀Ila kuna kichwa kibovu kama mimi tu ukikutana nae lazima uvumilie😁
😁😁😁 mhm watoto wa 2000 wanaona mimi mzeeU cheat nikuvumilie🙆😳 ndo maana mnakimbilia watoto wa 2000 kuvidanganya tu vimelegea sisi vichwa vyetu vimekomaa😀
Huna tu hela twakuwabembelezea😊😁😁😁 mhm watoto wa 2000 wanaona mimi mzee
Hii ni kweli kabisa, ngoja tusake tu tupesa.Huna tu hela twakuwabembelezea😊
Kwasababu jamaa hashindani na mwanamke ila post yake inahusu mwanamke kushindana na mwanaumeUna deal na petty issues sana mzee, mbona wewe leba hukwenda..?
Kwasababu sishindani na mwanamkeWee mbona hukulipiza kwenda leba?
Sasa km hushindani huu uzi uliuleta wa nini??Kwasababu sishindani na mwanamke