Wanawake mlio kwenye ndoa waheshimuni waume zenu na ndoa zenu

Wanawake mliokuwa kwenye ndo muheshimu waume zenu maana wamewapa heshima kubwa ya kuwaoa na kuwaweka ndani, wanawalisha na kuwavisha punguzeni midomo, gubu, dharau, jeuri, na baadhi yenu ku-cheat.

Huku nje ngumu jamani wenzenu tunatamani hizo ndoa lakini tunakutana na magumegume tunatamani tupate wa kutoongoza, single ni shida kuna mda unataman mtu akupe maelekezo icho usifanye, kule usiende n.k

Mungu alituumba kwa pair tusidanganyane usingle ni mateso ni shida japo ndoa zingine ni changamoto ila ukipata mtu sahihi ndoa nahisi ni tamu sana.
Seen.
 
Mbona tumeshakubaliana kataa ndoa
 
Wanaume mmeona hatuwashobokei ss hivi na vindoa vyenu, mmeamua kuzuga na kuja na id za kike ili mtushawishi tulio single tuolewe, Poleni sana hiyo mbinu yenu imefeli.!!
 
😂😂😂😂dah

mbona me naenjoy kuwa single🌚
Yani hawajui raha tuipatayo ila akili zao zilivyo mbovu wanahisi tunapenda kufokewa na kuamrishwa.!! Kwanza mahi muda wa kumfulia boksa mtoto wa mtu unautoa wapi?? 🤣🤣🤣
 
Bora wee umeongea ukweli wa mambo. Achana na hao wanaojiita independent woman wakati tunajua fika inawaumankutumia hela zao
Mimi niko tofauti kabisa, napenda kutumia pesa yangu, sipendi pesa za manyanyaso. Imagine mtu km ww mzabzab kibamia eti nawe unafokea mtu 😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣 Wee nifalaaa sasa jamani kibamia changu kinahusika vipi tena.
Ah wee nina kibamia alafu nina hela wala sikufokei wee mwenyewe tuu utaniheshimu
 
Yani hawajui raha tuipatayo ila akili zao zilivyo mbovu wanahisi tunapenda kufokewa na kuamrishwa.!! Kwanza mahi muda wa kumfulia boksa mtoto wa mtu unautoa wapi?? 🤣🤣🤣
imagine 😂😂😂kufua majeans woooi

akati tukimisiana ndo tunaonana
 
Back
Top Bottom