Wanawake mlio kwenye ndoa waheshimuni waume zenu na ndoa zenu

Wanawake mlio kwenye ndoa waheshimuni waume zenu na ndoa zenu

Wanawake mliokuwa kwenye ndo muheshimu waume zenu maana wamewapa heshima kubwa ya kuwaoa na kuwaweka ndani, wanawalisha na kuwavisha punguzeni midomo, gubu, dharau, jeuri, na baadhi yenu ku-cheat.

Huku nje ngumu jamani wenzenu tunatamani hizo ndoa lakini tunakutana na magumegume tunatamani tupate wa kutoongoza, single ni shida kuna mda unataman mtu akupe maelekezo icho usifanye, kule usiende n.k

Mungu alituumba kwa pair tusidanganyane usingle ni mateso ni shida japo ndoa zingine ni changamoto ila ukipata mtu sahihi ndoa nahisi ni tamu sana.
Pole sana
 
kwani ukiwa single ndo hauliwi😂😂😂




sijaolewa means niko single haiingiliani na kukulwa au kuliwa au kula😉
Amehlo,kama uko single njoo basi tuwe double maisha ndo haya.
Nina maloveee kama yote,ila chapaa ndo kipengele
 
Back
Top Bottom