Wanawake mlio kwenye ndoa waheshimuni waume zenu na ndoa zenu

🤣🤣🤣🤣 Wee nifalaaa sasa jamani kibamia changu kinahusika vipi tena.
Ah wee nina kibamia alafu nina hela wala sikufokei wee mwenyewe tuu utaniheshimu
😂😂😂 Dharau kufokewa na kibamia.
Ila km una pesa sawa hapo hata ukifoka huonekani km mtu aliyerukwa na akili.
 
Na sie wwnye vibamia ndio tuna pesa ati....yaani wenyewe mnavumilia sie kuwachafua....inabidi muende kwa maex wenu wakawanyandue vizuri
 
imagine 😂😂😂kufua majeans woooi

akati tukimisiana ndo tunaonana
Kitu sipendi kufua, kifupi mikazi ya nyumbani yote siipendi, sasa ndio niishi na toto la mtu linipelekeshe.!! Hapana kwakweli, tuishi kila mtu kwake, tukimisiana tutakutana. 😂😂😂😂
 
Na sie wwnye vibamia ndio tuna pesa ati....yaani wenyewe mnavumilia sie kuwachafua....inabidi muende kwa maex wenu wakawanyandue vizuri
Ss hivi tuna pesa zetu tunachagua wa kuwa naye, yani na sisi tunawachezea km mpira 😂😂😂
 
Pesa zenu wapi nyie roho zinawauma kuzitumia. Hum hezei mtu bwana hapo mnapeana burudani
 
Bora we umetambua ukweli. Wanawake wengi wanaojifanya kupenda kuwa single wana tabia Kati ya hizi. 1.Wapenda ugomvi akiwa kwenye mahusiano.
2.Wameachika zaidi ya mara mbili kwa sababu mbalimbali ikiwa chanzo ni wao.
3.Waliozaa kabla ya wakati hivyo kukosa wa kuwaowa.
4.Wasomi(kuanzia ngazi ya digree) hiki ni kizazi hatari kwenye mahusiano.
5.Walio zowea kubadili au kuwa na wanaume wengi tofauti tofauti.
6.Wale walio kosa malezi bora wakati wa utoto wao.
Nyingine nitamalizia wakati mwingine
N.b.Wanaolilia na kujisifia kuwa single kwa wanawake wanaotumia usingle kama kichaka cha kufanya uzinzi chunguza hilo na utagundua.
 
Kitu sipendi kufua, kifupi mikazi ya nyumbani yote siipendi, sasa ndio niishi na toto la mtu linipelekeshe.!! Hapana kwakweli, tuishi kila mtu kwake, tukimisiana tutakutana. 😂😂😂😂
kwa kweli
 
Pesa zenu wapi nyie roho zinawauma kuzitumia. Hum hezei mtu bwana hapo mnapeana burudani
Haziumi, tena zinaleta jeuri asikwambie mtu Mr kiockra. Unaweza kumgomea mtu akikwambia kaa hivi, unamjibu sitaki km vipi tuache. 😂😂😂
 
Wanawake mliokuwa kwenye ndo muheshimu waume zenu maana wamewapa heshima kubwa ya kuwaoa na kuwaweka ndani, wanawalisha na kuwavisha punguzeni midomo, gubu, dharau, jeuri, na baadhi yenu ku-cheat.

Huku nje ngumu jamani wenzenu tunatamani hizo ndoa lakini tunakutana na magumegume tunatamani tupate wa kutoongoza, single ni shida kuna mda unataman mtu akupe maelekezo icho usifanye, kule usiende n.k

Mungu alituumba kwa pair tusidanganyane usingle ni mateso ni shida japo ndoa zingine ni changamoto ila ukipata mtu sahihi ndoa nahisi ni tamu sana.
Subiri ferminists waje kukushambulia hapa.
 
Baada ya kufikisha 40+ ndio umeanza kupata akili
 
Back
Top Bottom