Wanawake mlio kwenye ndoa waheshimuni waume zenu na ndoa zenu

Seen.
 
Mbona tumeshakubaliana kataa ndoa
 
Wanaume mmeona hatuwashobokei ss hivi na vindoa vyenu, mmeamua kuzuga na kuja na id za kike ili mtushawishi tulio single tuolewe, Poleni sana hiyo mbinu yenu imefeli.!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚dah

mbona me naenjoy kuwa single🌚
Yani hawajui raha tuipatayo ila akili zao zilivyo mbovu wanahisi tunapenda kufokewa na kuamrishwa.!! Kwanza mahi muda wa kumfulia boksa mtoto wa mtu unautoa wapi?? 🀣🀣🀣
 
Bora wee umeongea ukweli wa mambo. Achana na hao wanaojiita independent woman wakati tunajua fika inawaumankutumia hela zao
Mimi niko tofauti kabisa, napenda kutumia pesa yangu, sipendi pesa za manyanyaso. Imagine mtu km ww mzabzab kibamia eti nawe unafokea mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi niko tofauti kabisa, napenda kutumia pesa yangu, sipendi pesa za manyanyaso. Imagine mtu km ww mzabzab kibamia eti nawe unafokea mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣 Wee nifalaaa sasa jamani kibamia changu kinahusika vipi tena.
Ah wee nina kibamia alafu nina hela wala sikufokei wee mwenyewe tuu utaniheshimu
 
Yani hawajui raha tuipatayo ila akili zao zilivyo mbovu wanahisi tunapenda kufokewa na kuamrishwa.!! Kwanza mahi muda wa kumfulia boksa mtoto wa mtu unautoa wapi?? 🀣🀣🀣
imagine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kufua majeans woooi

akati tukimisiana ndo tunaonana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…