Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

Mi sijui wanawake hua wana akili gani?

Kuna mmoja hapa alizalishwa na jamaa, baadae jama akampiga chini. Demu kahangaika na mtoto wake weee miaka kama minne akiwa singo maza.

Baadae sijui kilitokea nini akaamua kurudi tena kwa yule mwamba aliemzalisha. Mwamba kamtia mimba nyingine, demu kujifungua tu jamaa kampiga chini tena..!

Saivi demu hali yake ni mbaya kuliko ilivyokua mwanzo na watoto wawili juu.
 
Back
Top Bottom