Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

Tuache huu uhanithi wa kufungua uzi wa kuwakandia wanawake. Kwenye haya maisha kila mtu ana machaguo yake. Na huwa hakuna kuwahi wala kuchelewa. Bora mwanamke asiolewe kuliko ajiingize kwenye ndoa na mtu ambaye haendani naye.
 
Back
Top Bottom