Sad truth:
Men age like fine wines 🍷 but bichez age like milk.
Dada angu akitokea boya mmoja anataka kukuoa usilete mapozi sijui unataka kula ujana, olewa ujana utaula ndoani.
Unatakiwa kujua, kwa mwenendo wa dunia ulivyo sasa, idadi ya wanaume wanaooa inaanza kupungua, kuoa imekua kama mzigo, hata hapa jf hii movement ya kataa ndoa imeanza juzi juzi tu(alarm igonge kichwani mwako binti)
Usiwasikilize mastaa sijui ma infuluensa utaishia kujuta maisha yako yote ukiwa peke yako in your 30s or 40s baridi inakupiga hupati hata msaada, katoto kamoja ulikozaa kwa kuwaiga mastaa wa insta unakuta hakana nyuma wala mbele kameamua kuwa ka shoga tu coz ya malezi.
Olewa leo hata kama mwanaume ni mshamba mvaa mashati ya kitenge, utambadilisha tu(naturally mwanamke ana power ya kumbadilisha mwanaume)
Chukueni hiyo nyie mademu wa humu