SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Humjui??Hahahaha, kuna anayejiita Mrs Tresor humu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humjui??Hahahaha, kuna anayejiita Mrs Tresor humu?
Babe wangu heri ya mwaka umeingia na kivumbi mpe huyu boya chakeKwanza mimi nawapenda WANAUME WASHAMBA wanaovaa mashati ya vitenge kwa kweliii kule ndani wamejaliwa MIHOGO ILIYONONA na wanajua kugawa dozi haswaaa!
Leo hii nimefikisha umri wa miaka 60 lakini napelekewa moto wa ajabu mpaka najihisi binti wa miaka 16.
Wasukuma mbarikiwe!
Cc: Mbaga Jr Extrovert Lamomy Half american min -me
Hahahaha, kama uko serikalini omba uhamisho uende mkoa unaotakaYes , Sir natamani nipate kazi mkoa mwingine nibadili hali ya hewa
Hahahaha, sijaona humu Hy ya Mrs Tresor...we ushaiona? Unitag 🤣Humjui??
Sipo serikaliniHahahaha, kama uko serikalini omba uhamisho uende mkoa unaotaka
NitakutagHahahaha, sijaona humu Hy ya Mrs Tresor...we ushaiona? Unitag 🤣
Fanya kazi Kwa bidii ,Hy mikoa mingine uende kufanya tourSipo serikalini
Hahahaha...iwe Mrs Tresor kweli na si vinginevyoNitakutag
Yani huu ni ukweli mweupeeeee na wengi wanaumia sana ila Kila wakiambiwa kitaa "una pisi Kali" basi Wanavumilia maumivuHalafu ndio awe na nyash tena kijana yupo tayari hata kukopa ili wenzake waone anamiliki hiyo pisi .
Madogo wanapata pesa nyingi mno ila hawana cha maana wanatunza pisi zenye nyash na nyeupe🤣🤣🤣🤣
Tatizo la huyo jamaaMi sijui wanawake hua wana akili gani?
Kuna mmoja hapa alizalishwa na jamaa, baadae jama akampiga chini. Demu kahangaika na mtoto wake weee miaka kama minne akiwa singo maza.
Baadae sijui kilitokea nini akaamua kurudi tena kwa yule mwamba aliemzalisha. Mwamba kamtia mimba nyingine, demu kujifungua tu jamaa kampiga chini tena..!
Saivi demu hali yake ni mbaya kuliko ilivyokua mwanzo na watoto wawili juu.
Ila hata wewe ulikuwa unakubaliana naye imekuwaje??Hahahaha...iwe Mrs Tresor kweli na si vinginevyo
kuna mmoja nina historia naye, juz kat kapata bwna kakijana tu, et kakatangaza na ndoa kabisa, kumbe kanamchora tu, kamla weee mwishowe kakamtongoza mdogo wake, uchumba ukafia hapo.30 halafu singo maza, aah vijana wataishia kukufanya tu
Hahahaha, yaaani anajiita kbs mrs....au ni Ile chit chat ? Kama ni chit chat ni sawa ila nayo ni chit chat tuIla hata wewe ulikuwa unakubaliana naye imekuwaje??
Hahahaha,maramamaekuna mmoja nina historia naye, juz kat kapata bwna kakijana tu, et kakatangaza na ndoa kabisa, kumbe kanamchora tu, kamla weee mwishowe kakamtongoza mdogo wake, uchumba ukafia hapo.
Hahahaha, dah30 halafu singo maza, aah vijana wataishia kukufanya tu
Naona kwenye chit chat zenu tu nikazinia kweliHahahaha, yaaani anajiita kbs mrs....au ni Ile chit chat ? Kama ni chit chat ni sawa ila nayo ni chit chat tu
Hahahahaaa daah ila wee jamaa Bichwa wewe unanipaga raha sanaKwanza mimi nawapenda WANAUME WASHAMBA wanaovaa mashati ya vitenge kwa kweliii kule ndani wamejaliwa MIHOGO ILIYONONA na wanajua kugawa dozi haswaaa!
Leo hii nimefikisha umri wa miaka 60 lakini napelekewa moto wa ajabu mpaka najihisi binti wa miaka 16.... yaani kiufupi nimekuwa BIBI WA HOVYO kwa jinsi ninavyozabuliwa mbunye kisawasawa!
Mafao yangu yote ya kustaafu anakula yeye!
Wasukuma mbarikiwe!
Cc: Mbaga Jr Extrovert Lamomy Half american min -me Poor Brain
Huna soko mshangazi, hauna soko. Acha kujifariji wewe gazeti la jioni..granitized .
Nataka ufahamu jambo.
Kama mtu ana 34 au 40 haruhusiwi wafuatao .
25 to 31 anajiabisha .
Mtu mwenye 34 mpaka 40 atafute mume wa 39 to 55 ndio heshima sasa wale wadogo wataendaje kuishi na wabibi wakafe mapema haijalishi kama sio single mother au ni single mother