Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba.

Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini.

Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale.

Sisi mlituona tupo kama walimu wa vijijini.

Sasa kwanini mnatusumbua jua likiwa tayari limezama?? Shida ni nini?? Kwani wale wajanja wavaa raba, jinsi na t-shirts kali mliokuwa mnawapapatikia, kipi kimewatokeeni??

Leo hii wavaa vitenge ndio wamekuwa retirement plan baada ya kufanya um@laya wenu na K kuchakaa, eti??

Hayo magonjwa mliyoyaokota huko, mimi niyapeleke wapi??
Dah! Ngoja nikae pembeni niangalie kwanza mechi ya Simba v Wanyamwenga.
 
Uchakavu upi kuna wanaume wanataka wanawake kama sis na 34 so siogopi kusema kwani lazima tuolewe humu my foot na katoto kadogo kana 31 kana taka kanioe na simtunzi ananitunza .
SO jipe shughuli kuna mwenzako alikuwa kama wewe kazi kuchukua mishangazi nyota zao sai analia na Mungu wake kachawi kabisa
34 bado unajiona mrembo 🤣 jitahidi kuhudhuria kanisani wewe.
 
Ni kweli, halaf mbona kuna wanawake 40s huko lakin wako poa tu.
Mfano, mi wife kanipiga chini akiwa na 36 yrs na am sure anayemla bado anamfaidi tu maana si kwamba kachoka.
Sio kila mwanamke yuko desparate namna hiyo, kuna wengine wametuacha na si kwamba wana haja sana ya kuolewa
Kama hana watoto wengi aliyempata sahizi anafaidi tu😁
 
Hapa ndio napopenda mie, wanawake ujanja wote mwisho 28.
Akishagusa 29 anaanza kupanjc. Yupo mmoja hapa ni 29 anajua nina ngoma lakini anasema wee mzabzab nioe tu

Tuwe tu wakweli 34 ushakwama
Hakuna mwanaume rijali atavutiwa na kikongwe cha miaka 34
I see😛😛😛 utaambiwa yy mzuri akitaka kuolewa dk
 
Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba.

Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini.

Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale.

Sisi mlituona tupo kama walimu wa vijijini.

Sasa kwanini mnatusumbua jua likiwa tayari limezama?? Shida ni nini?? Kwani wale wajanja wavaa raba, jinsi na t-shirts kali mliokuwa mnawapapatikia, kipi kimewatokeeni??

Leo hii wavaa vitenge ndio wamekuwa retirement plan baada ya kufanya um@laya wenu na K kuchakaa, eti??

Hayo magonjwa mliyoyaokota huko, mimi niyapeleke wapi??
K hadi zimeota sigda,🤣🤣🤣🤣
 
Yaani hao waendelee kwenye stage ya kuwa wanagongwa tu na kupewa pesa ya kujikimu tu.

Hakuna kuwaweka ndani kinyumba,ni hatari kwa afya zetu,kilometa zimesoma sana
Mnahela gani mmechoka maisha
 
Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba.

Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini.

Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale.

Sisi mlituona tupo kama walimu wa vijijini.

Sasa kwanini mnatusumbua jua likiwa tayari limezama?? Shida ni nini?? Kwani wale wajanja wavaa raba, jinsi na t-shirts kali mliokuwa mnawapapatikia, kipi kimewatokeeni??

Leo hii wavaa vitenge ndio wamekuwa retirement plan baada ya kufanya um@laya wenu na K kuchakaa, eti??

Hayo magonjwa mliyoyaokota huko, mimi niyapeleke wapi??
Dah!
1. Nilipata mmoja miaka iliyopita akajishtukia mwenyewe akanambia; tukioana nawe nitazeeka mapema na vibinti vidogo vitaniibia mume, nitaishi kwa shida sana; tukawa ni kugegedana tu kila time tunapohitajiana.
Nilipohama mkoa ikaishia hapo.

2. Nilipata mwingine, tuligandana Kwa love ya nguvu. Maana alikuwa mzuri na shape zuri sana.
Tulipishana gape la umri, alinizidi mbali sana.
Season yetu sijui hata iliishaje!!!!!
Dunia inazunguka tu!
 
Extrovert hivi tuwe tu wakweli mnavyo nanga akina sisi kwani nyie mnahela ambayo inamzidi babalevo ukiacha mwijaku mtu wakunisuta nikajutia maisha ni hao machawa atleast wanavipesa vya kuhongwa nawasani sio nyie mnapumulia gesi .

Nyumba uliyoijenga wewe inagharimu sh. Ngapi, kingine gari yako yakutembelea inagharibu sh. Ngapi yaani itanisumbua roho au watoto wako wanasoma shule ghali ya gani .

umewahi mnunulia mtoto wako gari maana aunt ezekieli anamemzawadia mtoto wake.mdogo gari .

Kuchelewa kuolewa sio nuksi but wanakutana na vilaza mwanaume anataka uparticipate kulea kitu alichokileta duniani.

Na hamjui kutunza familia unatunziwa familia how kwa kidogo mtu anapata ampe hadi.mwanaume ??

Ukijenga anakuja dai kuwa amekuoa nyumba muuze akale na malaya.

Hajui kuwa ulisotaje.kujenga nyumba na pia hata watoto wake hajali wataiishi wapi nyumba ikiuzwa . Hana muda nao wala hajui watoto wanakula nini .

Hivi mnadhani mtu tu aende kwa machizi kama hayoo . Maburee kabisa . LOH HAPANA . Ukiwa single ni bora kuliko mtu akuoe ukamtunze na watoto wake
 
Back
Top Bottom