Wanawake mlioolewa hamwingiwi na tamaa ya mapenzi na vijana wasiooa?kama wafanyavyo waume zenu kwa mabinti

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,483
Mwanamke amefungwa na minyororo ya kiutamaduni juu ya kuelezea hisia zake za kimapenzi kwa mwanamme ambaye angetamani japo a-date naye siku moja katika maisha yake.
Tofauti na mwanamme,aliyepewa wadhfa wa kichwa cha familia pale anapomwitaji binti au mwanamke aliyemvutia huweza kufanya mipango na hatimaye kutimiza haja ya moyo wake.
Wanawake mlioolewa ni kweli kwamba mnavyozunguka katika harakati zenu hamkumbani na changamoto ya kumpenda mwanaume ambapo mnatamani japo angekuja kukumbatia ili atulize haja ya moyo wako?
 
Wanawake kama walivyo wanaume wako na hisia, kwa hiyo basi kutamani kupo. Sema wanawake wana woga wa kumfuata mwanaume na kumweleza hisia zake na zaidi sana anaiwazia ndoa yake, kwa mwanamke anaejiheshimu hawezi fanya hivyo.... Unakufa na tai shingoni....

Na ukumbuke wapoo wanaowarubuni vijana hawa kwa fedha ili tu wawakubali, kwa hiyo hapo inategemea na tabia ya mtu...

Kwa mie sioni sababu ya kumsaliti mwenzio, maumivu ya usaliti huwa hayasahauliki daima
 
Ww hujawai kuwaona haowakezawatu wanaowatamani vijana nakugegedwa ???au unaishi kolomije ???maana hukukwetu wapo wengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha mnakufa kijerumani na tai shingoni au kama mchaga anayekufa njaa wakati Pesa anazo mfukoni
Wanawake kama walivyo wanaume wako na hisia, kwa hiyo basi kutamani kupo. Sema wanawake wana woga wa kumfuata mwanaume na kumweleza hisia zake na zaidi sana anaiwazia ndoa yake, kwa mwanamke anaejiheshimu hawezi fanya hivyo.... Unakufa na tai shingoni....

Na ukumbuke wapoo wanaowarubuni vijana hawa kwa fedha ili tu wawakubali, kwa hiyo hapo inategemea na tabia ya mtu...

Kwa mie sioni sababu ya kumsaliti mwenzio, maumivu ya usaliti huwa hayasahauliki daima
 
Mwanaume anaweza kuwa na wanawake zaidi ya moja na jamii ikajua na kusiwe na tatizo

Mwanamke anaweza kuwa na wanaume zaid ya wawili ila jamii ikijua ni tatizo.

Nadhani kila mtu aenjoy faida na hasara ya jinsia yake kulingana na jamii yake.
 
Wanawake kama walivyo wanaume wako na hisia, kwa hiyo basi kutamani kupo. Sema wanawake wana woga wa kumfuata mwanaume na kumweleza hisia zake na zaidi sana anaiwazia ndoa yake, kwa mwanamke anaejiheshimu hawezi fanya hivyo.... Unakufa na tai shingoni....

Na ukumbuke wapoo wanaowarubuni vijana hawa kwa fedha ili tu wawakubali, kwa hiyo hapo inategemea na tabia ya mtu...

Kwa mie sioni sababu ya kumsaliti mwenzio, maumivu ya usaliti huwa hayasahauliki daima
umenena vema...,
 
Mm nmeshatamaniwa sana na hao wa mama na wakani approach kwa sana tu
 
Back
Top Bottom