Wanawake mlioolewa hamwingiwi na tamaa ya mapenzi na vijana wasiooa?kama wafanyavyo waume zenu kwa mabinti

Wanawake mlioolewa hamwingiwi na tamaa ya mapenzi na vijana wasiooa?kama wafanyavyo waume zenu kwa mabinti

Jibu lipo kwa mkemia mkuu wa serikali. Zaidi ya nusu ya vipimo vya DNA kwenye utata wa watoto, vinaonyesha wanaume wamebambikiwa.
 
Kwanini madame?
Akili imetulia.. Na kwasababu wote mpo kwenye ndoa mnaendana kwa story na changamoto, mnafarijiana.
Anaelewa vizuri mipaka yako na wewe unaelewa mipaka yake.
Game pia wanaielewa!
 
Mimi Mke wangu simrindi ila nikimfumia na nwanaume mwingine aisee ndoa hapohapo inaishiaaa...
Yani Mimi nipo busy kutafuta pesa yeye akagawe papuchi bure tuuu hahahaa

CHUKUA TIME

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili imetulia.. Na kwasababu wote mpo kwenye ndoa mnaendana kwa story na changamoto, mnafarijiana.
Anaelewa vizuri mipaka yako na wewe unaelewa mipaka yake.
Game pia wanaielewa!

Upo vizuri madame.
 
Unadhani watasema kiwa wanatoaga...kila atakaechangia atakwambia anajiheshimu hatoi nje
kwani wewe huwa unasema unatoaaaa, ile kitu ni ya siri haitakiwi isemwe
teh teh
 
Mwanaume anaweza kuwa na wanawake zaidi ya moja na jamii ikajua na kusiwe na tatizo

Mwanamke anaweza kuwa na wanaume zaid ya wawili ila jamii ikijua ni tatizo.

Nadhani kila mtu aenjoy faida na hasara ya jinsia yake kulingana na jamii yake.
hahahahaha nimecheka kweli kusikia faida na hasara.
lol umeuaa band kabisa
 
Back
Top Bottom