Wanawake mlioolewa hamwingiwi na tamaa ya mapenzi na vijana wasiooa?kama wafanyavyo waume zenu kwa mabinti

Wanawake mlioolewa hamwingiwi na tamaa ya mapenzi na vijana wasiooa?kama wafanyavyo waume zenu kwa mabinti

Kutaman kupo pale pale, na muda mwingine tunajilipua km kawaida ila kwa usiri saaana.. Kila siku rungu moja mpk ufe inahusu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
msema kweli ndo Wewe... Wanaume wanajiaminisha kuwa wake zao hawachepuki yaani wangeyajua ya behind the scenes wangechanganyikiwa. Wanawake walioolewa si tu wanachepuka na waliooa bali hata hao vijana (viserengeti) kinachofanyika hapa ni usiri mkubwa kama bado anaipenda ndoa yake.. Ila mwanamke akiwa amemchoka mumewe haangaiki sana kujificha. Ndo mjue na sie tunabadilishaga ladha....
 
Kutamani kupo pande zote mbili kwa wanaume na kwa wanawake sema utofauti wetu ni kwamba wanaume mnaujasiri na wanawake sisi ni waoga. Kwahiyo tunapokuwa kwenye ndoa tunatamani vizuri tuu sema shughuli ipo kwenye kufikisha ujumbe. Ndio maana tukiona ugumu tunapotezea tuu tunaendelea kupambana na ndoa zetu.
 
Mwanamke amefungwa na minyororo ya kiutamaduni juu ya kuelezea hisia zake za kimapenzi kwa mwanamme ambaye angetamani japo a-date naye siku moja katika maisha yake.
Tofauti na mwanamme,aliyepewa wadhfa wa kichwa cha familia pale anapomwitaji binti au mwanamke aliyemvutia huweza kufanya mipango na hatimaye kutimiza haja ya moyo wake.
Wanawake mlioolewa ni kweli kwamba mnavyozunguka katika harakati zenu hamkumbani na changamoto ya kumpenda mwanaume ambapo mnatamani japo angekuja kukumbatia ili atulize haja ya moyo wako?
Utakuwa hujaaoa wala kuolewa wewe...!!

Ungeuliza tu (WILL YOU MARY ME)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu hakuwapa iyo nguvu... Ili linatokana na kua Wanawake wanapenda KILA KITU,sasa wakishatami kifua, kesho watamani mguu, baadae hogo chungu,...e.t.c..wanawake wapo irrelevant
 
Wanatamani ila wanawake wengi wanaweza kujizuia kuliko wanaume.
 
Kuna kaka nimetokea kumtamani sana ni mwezi wa nne huu kila akipita moyo unashtuka na mapigo yanabadilika,ila kiukwel swezi kumwambia,
Sijui nitaacha lini kumtamani.
 
Unadhani watasema kiwa wanatoaga...kila atakaechangia atakwambia anajiheshimu hatoi nje
Hahahaha

Wakati hadi kutongoza siku hizi wanatongoza..... hakuna cha kufa na tai wala kamba ya katani shingoni
 
Wanawake kama walivyo wanaume wako na hisia, kwa hiyo basi kutamani kupo. Sema wanawake wana woga wa kumfuata mwanaume na kumweleza hisia zake na zaidi sana anaiwazia ndoa yake, kwa mwanamke anaejiheshimu hawezi fanya hivyo.... Unakufa na tai shingoni....

Na ukumbuke wapoo wanaowarubuni vijana hawa kwa fedha ili tu wawakubali, kwa hiyo hapo inategemea na tabia ya mtu...

Kwa mie sioni sababu ya kumsaliti mwenzio, maumivu ya usaliti huwa hayasahauliki daima
Perfect for a wife. Umenena vema sana.
32a9f279f681cb7c81e110aa5afc3aa7.jpg
 
Wanawake kama walivyo wanaume wako na hisia, kwa hiyo basi kutamani kupo. Sema wanawake wana woga wa kumfuata mwanaume na kumweleza hisia zake na zaidi sana anaiwazia ndoa yake, kwa mwanamke anaejiheshimu hawezi fanya hivyo.... Unakufa na tai shingoni....

Na ukumbuke wapoo wanaowarubuni vijana hawa kwa fedha ili tu wawakubali, kwa hiyo hapo inategemea na tabia ya mtu...

Kwa mie sioni sababu ya kumsaliti mwenzio, maumivu ya usaliti huwa hayasahauliki daima
my massage of the day...thank you
 
Back
Top Bottom